Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,232
Mafia kama organization nyingine kubwa za kihalifu yenye maskani yake kubwa ulaya mashariki na duniani kote wana sheria/amri ambazo kila member lazima azifuate ili kuwa member kamili nazo ni;
TEN COMMANDMENT OF MAFIA
1.Hairuhiwi kujitambulisha/kuonana na mwenzio (mafia) moja kwa moja,lazima kuwe na mtu wa tatu kati yenu atakayefanya hivyo.
2.Ni marufuku kumtizama mke wa rafiki yako(Kwa matamanio).
3.Ni marufuku kuonwa na polisi.
4.Hauruhusiwi kwenda pub na club.
5.Kupatikana muda wowote kwaajili ya kazi ni wajibu wako,hata kama mkeo anataka kujifungua.
6.Makubaliano ya kukutana (Apointment) yanatakiwa yapewe heshima ya hali ya juu.
7.Mke ni lazima uishi nae kwa heshima.
8.Ukiulizwa kuhusu taarifa zozote na wakuu wako majibu yanabidi yawe ya kweli.
9.Pesa zinazomilikiwa na familia nyingine huruhusiwi kuzitumia.
10.Watu ambao hawawezi kujiunga na kundi ni;Mtu yeyote mwenye ndugu wa karibu ambae ni polisi,Mwenye ndugu asiyeeleweka anachofanya(two-timing person),Yeyote mwenye tabia mbaya na hawezi kujiheshimu.
Mi nimependa ya 6,7&2.
Wewe je?
Sheria ipi ingekushinda?