Amri kumi kwa wapendao ofa

Amri kumi kwa wapendao ofa

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,134
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.

11.Msifie mtoa ofa kwamba yeye ni sharobaro hata kama amevaa shati la kikoi,suruali ya kimchelemchele,soksi za pundamilia na mokasi zilizochongoka na kupinda juu kama kikatio cha majani ya ng'ombe.
 
Hapo namba tisa ni mtihani kwa mtu anaeithamini ndoa yake
 
++
Da! Kumbe biashara ya utumwa ipo ila ki-digitali zaidi!
++
 
Mwisho utaolewa bure.
Dume ni kugangamala UPAMBE ni mbaya

Na mm nimeiskia leo asubuhi Radio One kwa D. Rweyunga kwa hiyo tusiwe tuna-copy na Ku-Paste
Kweli zikimpanda na mko Bar na mkeo anaweza kukuchagua badala ya mkeo sijui utakataa
 
1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.

NIMEIPENDA, AHH NIMEIPENDA.
Nami ndio nipo hivo hivo nipe tu ofa, utakuwa mfalme wangu hahaha
 
Hahah, kweli bure aghali.
Yaani l should laugh at all ur silly jokes.
Hahahah, nitoe basi zis wikend.
 
Mwisho utaolewa bure.
Dume ni kugangamala UPAMBE ni mbaya

Na mm nimeiskia leo asubuhi Radio One kwa D. Rweyunga kwa hiyo tusiwe tuna-copy na Ku-Paste
Kweli zikimpanda na mko Bar na mkeo anaweza kukuchagua badala ya mkeo sijui utakataa
Inafaa anapopesti si unajua wengine tuko bondeni sana redio one hatuipati tunapata RTD tu ukizingatia radio yenyewe mkulima na betri za kuanika kwanza. Kumbe ilikua radio one basi wengi wamejifunza
 
Yaani nimecheka kweli , sasa kama anakuboa itakuaje walahi

Si nataka ofa bwana, hata akianza kujichokonoa pua na midole namsifia tu.

Yaani nimekumbuka kuna sehemu moja nilifanya kazi, ilikuwa ukimsifia muhasibu vitu vyake alivyotoka navyo States (ilikuwa mara yake ya kwanza) basi hata ukimdanganya ukucha unauma, si ruhusa tu ya kwenda town atakupa lkn na imprest nene tu iso na retirement. Chezea kusifiwa weye!
 
Si nataka ofa bwana, hata akianza kujichooakon pua na midole namsifia tu.

Yaani nimekumbuka kuna sehemu moja nilifanya kazi, ilikuwa ukimsifia muhasibu vitu vyake alivyotoka navyo States (ilikuwa mara yake ya kwanza) basi hata ukimdanganya ukucha unauma, si ruhusa tu ya kwenda town atakupa lkn na imprest nene tu iso na retirement. Chezea kusifiwa weye!
Hapo kwenye red lol
 
Mhhhh! lol! Bure ghali!!!!

[video]http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v =BofL1AaiTjo[/video]

1. Muheshimu anayekununulia
2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini
3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa
4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5. Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6. Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7. Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8. Usinywe kwa pupa, kunywa mafunda madogomadogo
9. Usitamani mpenzi wa mtoa ofa hata kama ndie mke wako
10. Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi
KUMBUKA……Mtoa ofa akiwa Man U na wewe Man U, akiwa Chelsea na wewe hivyo hivyo. Akiwa CCM na wewe onyesha kadi kabisa, akiwa CHADEMA onyesha kadi na katiba…kifupi uwe umejitayarisha kila wakati.

Similar Discussions

Back
Top Bottom