Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano

Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.

Amri
  1. Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
  2. Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
  3. Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
  4. Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
  5. Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
  6. Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
  7. Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
  8. Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
NB
Stay HERE.
Be the first to know via JF
 
J

Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)

Stay HERE.
Be the first to know via JF
Jeshi la Wananchi ni Jeshi la Wananchi sio la CCM

Ni Jeshi la kulinda Uhuru wa Wananchi na Katiba kwa maslahi ya Wananchi na sio ccm na kikundi kidogo cha mafisadi wanaoliangamiza hili Taifa.

Its now or never. Lazima CCM itoke madarakani na Jeshi liongoze nchi kipindi cha mpito kutupatia Katiba Mpya, Katiba bora ya Mwananchi inayoaimika mifumo imara dhidi ya Viongozi wanasiasa wabovu na mafisadi.
 
Wananchi wakiamua jambo lao, hakuna wakuwarudisha nyuma. Sasaivi kila mtu anatamani hayo maandamano yatokee.. Swali linabaki je wananchi tutajitokeza au tutasubiri nyumbani tuone nani atalianzisha, hata vyombo vyote vya ulinzi vinasubiri watu wajitokeze kwa wingi ili nao wapate lakujitetea kuwa wanaogopa kushtakiwa ICC.
 
Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano

Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.

Amri
  1. Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
  2. Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
  3. Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
  4. Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
  5. Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
  6. Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
  7. Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
  8. Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
NB
Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)

Stay HERE.
Be the first to know via JF
  1. Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
  2. Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
  3. Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
  4. Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
  5. Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
 
Hakuna wanaloweza kubadilisha hao wastaafu kinyume na yale matakwa aliyotamka Captain Tesha

Hao wastaafu ni kikundi kidogo sana kuliko kundi kubwa la wananchi ambao wanasapoti tamko la Captain.

Wakiziba masikio watajikuta katika wakati mgumu hapo baadaye mambo yakigeuka.
 
Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano

Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.

Amri
  1. Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
  2. Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
  3. Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
  4. Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
  5. Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
  6. Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
  7. Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
  8. Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
NB
Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)

Stay HERE.
Be the first to know via JF
Tunasubiri
 
Mama Dully amepata degedege kali sana jana na hataki kunywa dawa anafakamia K Vant tu
 
Samia atoboi na atakiwi kutoboa kwa maslai mapana ya taifa na uzalendo
 
Back
Top Bottom