jaman nilikuwa nahitaji wataalamu wenzangu ili tuwe tunajadiliana kuhusu jinsi ya urekebishaji amplifier, inverter, converter, sub woofer. Mimi na uwezo wa kuviunda hivyo vyote sasa nilikuwa nahitaj wataalamu wenzangu ili tuwe tunaelekezana

Anza unavyo jua wewe tutakuunga mkono mfano mimi nilianza kuunda amp kwakutumia germanium tranistors km A188/AC187 km out Tranistors miaka ya 1978 nilipo kuwa form two