Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Ukimsomesha makosa ni yako sio ya kwake. Mke mwenyewe hasomeshwi sembuse mpenzi tu?
Ni kwamba huwa hamsikii kila siku wanasema mchumba hasomeshwi? Au inakuaje
 
Mchumba hasomeshwi.
 
Hii habari imeandikwa kihuni, Sijui kwann? Ila habari haijakamilika na sijui kama ina ukweli au fiction
 
Ukimsomesha makosa ni yako sio ya kwake. Mke mwenyewe hasomeshwi sembuse mpenzi tu?
Ni kwamba huwa hamsikii kila siku wanasema mchumba hasomeshwi? Au inakuaje
Inaelekea huyo njemba alikuwa anampa support demu akiwa chuo na mbususu alikuwa anakula. Na huenda wazazi wake huyo demu ndo walimpeleka chuo na ada wanamlipia wao. Huyo jamaa kakosa tu busara katika maamuzi yake, kashindwa kukubaliana tu na uhalisia wa mambo na kucheki njia nyingine.......mbona kumhonga demu hata kama yupo chuo ni kawaida tu wala huwezi kuchukulia kama unamsomesha?​
 
Watu wapo tofauti. Mwingine ana honga akitegemea arudishiwe fadhila.
Ikitokea kinyume na matarajio yake ndo hivyo anapanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…