Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Kuna vitu wanawake huwa wanajitafutiaga tu kama upendi kusomeshwa bs sema mapema acha kutumia ghrama za msela ujui

Anapataje pesa zake kukusomesha wewe
Nia yake ni baadae awe mke msomi
Lkn kumbe kuna boya huko anakula mzigo kizembe nadhani amelipwa kwa zinaa alizofanya huyo demu mwache afe tu mm
Siwez kuhuzunika.
 
Mchumba hasomeshwi.. Kama kwao hakusomeshwa do it at your own risk... Kwakuwa haina guarantee kwamba atakupenda kisa ulimsomesha maana hisia za mapenzi na shukrani ya elimu ni vitu viwili tofauti kabisa
Shida pengine kwenye ahadi AHADI au MAAGANo yao ndo shida Kuna umuhimu Sheria za ndoa ziangaliwe upya itasaidia pengine

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Tuingie ndo za mikataba anayevunja amlipe mwezake,mtoto wa chuo kikuu mkubwa inapotokea anamahtaji hayo na kigezo kuja muoane basi kuwe na mkataba wa ndoa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ile video ni hatari aisee mimi ningetaka tu wanirudishie gharama zangu mambo ya za kichwa tumuachie mzee wa mjegeje.
 
Ile video inatisha, yaani hakumpa hata mda wa kuongea.
 

Attachments

  • IMG_20221104_081910.jpg
    61.8 KB · Views: 14
Mchumba hasomeshwi.. Kama kwao hakusomeshwa do it at your own risk... Kwakuwa haina guarantee kwamba atakupenda kisa ulimsomesha maana hisia za mapenzi na shukrani ya elimu ni vitu viwili tofauti kabisa
Huu ni ukweli mchungu kabisa!
 
Niliapa sitawai kuwa serious na mapenzi

Mapenzi ni upuuzi fulani hivi me nikikojoa imeisha hiyo

We Kama unacheat nenda tu kacheat Sina muda ki ujumla!!!

Nitakuwa na mapenzi na mama yangu na pesa tu hapa duniani!!
Mwanzo sikuwahi kukubaliana na hili. Sasa ninaelewa nini umeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…