Dkt Guston
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 105
- 119
Sms za jamaa hizi hapaKijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat
Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza , alikua akisoma sheria, Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza
Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa Hadi kumuua [emoji15]
DuuuhSms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
Very painful indeedSms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123