Amos Makalla kaa chonjo, wamachinga ni jeshi kubwa

Machinga ni watu wa vurugu sana walitengenezewa Machinga complex wakapakataa yaani serikali inawabembeleza sana hao watu.
Nashindwa kuelewa mtu yeyote mwenye upeo wa wastani anaeweza kushabikia huu upuuzi wa wamachinga. Ni lazima waondoke barabarani tu hakuna njia mbadala. Huwezi endesha miji hivi under any standards. Hili linawezekana kwa kiongozi mjinga na mwenye kupenda cheap politics . Lazima tubadilike tu if we have to lift our economy. Nguvu itumike waondoke mara moja. Watafutiwe eneo mbadala nje ya CBD kwenye miji yote wawekewe mifumu kama vyoo barabara nk. Sio city centers/town centers.
 
Nashindwa hata kuelewa zile barabara kwanini zilijengwa K,Koo ikiwa hata mtembea kwa miguu huna pa kukanyaga. K,Koo sio soko Bali ni uchafu kabisa ule
 
Back
Top Bottom