Niko Mbagala, tambo za Amos Makala kuwapanga wamachinga ziko wapi?

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,661
15,026
Nakumbuka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Amos Makala alisema kwamba tangu tupate uhuru jiji la Dar es Salaam halijawahi kuwa safi kama sasa baada ya wamachinga kuondolewa wote barabarani na kupangwa kwenye masoko!

Leo niko Mbagala rangi tatu wamachinga wametapakaa vilevile kila kona ya barabara wamejaa., nasikia pia hata kule Katoro mkoani Geita waliposikia Rais Samia anakuja ndiyo wakawafukuza harakaharaka, lakini alipopita tu wakajaa tena barabarani.

Ni unafiki kwa kwenda mbele ili kumdanganya Rais.
 
Nakumbuka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Amos Makala alisema kwamba tangu tupate uhuru jiji la Dares salaam halijawahi kuwa safi kama sasa baada ya wamachinga kuondolewa wote barabarani na kupangwa kwenye masoko...
Usiache kutupa n mrejesho wa hali ilivyo hapo Buza kwa mpalange.
 
Suala la Machinga wameliokosea Kwa sabb ya kudharau sabab zinazowaweka pale. Hizo ndo za kutibu na sio kukomaa nao waondoke. Atakuuliza anaenda wapi? Sio kama soko halioni hapana. Mwingine Suluhu yake kuajiriwa, huyu mtapiga mpaka mtaua
 
Kweli kabisa
 
Kwani leo Etweege hukufungua kibanda chako,ukaamua kufanya utalii kwa kuwatembelea wenzio
 
Shida inaanzia kwa viongozi wa Serikali za mitaa wanauwezo wa kuwatoa vizi Tu ila wanaasilimia zao ndo mana hili zoezi linakuwa gumu, Kuna mtu anapita meza Hadi kukusanya ushuru kwa siku so it's hard
 
Juzi nilipita mbezi mwisho maramba mawili nilikuta Hali imerudi nilitakakuleta uzi niakasita

Ila Hali Ni mbya mbgala na mwbezi mwisho wako wengi barabarani

Siyo kwamb nawakata wamachinga no nikwamna Amos makal amefeli
 
Mbezi luis ndo baLaaa naona kawe napo wamesharudi wamachinga wenzangu tuendelee kukaza hivhivi
 
Nakumbuka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Amos Makala alisema kwamba tangu tupate uhuru jiji la Dar es Salaam halijawahi kuwa safi kama sasa baada ya wamachinga kuondolewa wote barabarani na kupangwa kwenye masoko!

Leo niko Mbagala rangi tatu wamachinga wametapakaa vilevile kila kona ya barabara wamejaa., nasikia pia hata kule Katoro mkoani Geita waliposikia Rais Samia anakuja ndiyo wakawafukuza harakaharaka, lakini alipopita tu wakajaa tena barabarani.

Ni unafiki kwa kwenda mbele ili kumdanganya Rais.
magufuli amefufuka huko chato. kaja kuwaruhusu wanyonge wafanye biashara popote ili wajiaajiri au siyo.
Hamna jema nyie wakiondolewa oooh sijui mzimu sijui dictator sijui ujinga ujinga tu
wakiaachwa ohhh fulani kashindwa oh
KAMFUFUE UZIKWE WEWE BASI
 
Back
Top Bottom