PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
 
Wanaoondoka walijiandaa kupokea minofu kutoka ccm kwenye sahani ya chadema. Sahani imepokonywa ndiyo maana wanaoondoka..

Hushangai kuona mke wa Salumu, mke wa Mrema na mke wa Kigaila wote ni members wa COVID-19??
 
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
Sisiemu wenyewe wakikaa nakutuliza akili hawamuelewi huyu jamaa sasa sembuse wananchi? Sijui vigezo gani mnatumia kuchagua hawa watu ni dharau kubwa kwa wananchi? Bashite walimuogopa kwakua nae alikua akiwawasha wao wenyewe kwa 95% wakaona kuna own goal wamtoe mapema
 
Hizo zote ni mbinu za kuzima upepo wa hoja za bunge la ulaya walizopewa maelekezo kufanyia kazi.

Hoja kuu waliyoiona ni ushoga nao watu wamewakaba koo propaganda hiyo imeyeyuka.

Sasa wamehamia kwa Heche.

Huyu Makalla aeleze nchi inaingiaje kwenye uchaguzi kwa tume inayoteuliwa na mwenyekiti wa chama chake?

Mtu utakuwaje referee wa timu unayoshabikia na mbali zaidi unamiliki hisa humo ?

Chama kilichokosa matumaini ndio kinamfanya Muliro atumbue macho kuzuia watu kwenda kusikiliza kesi mahakamani?
 
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Hicho cheo cha Katibu mwenezi kinawafaa watu wajanjs wanaojotambua, kwa mfano makonda alifaa ingawa hao akina makala wakamfanyia figisufigisu hadi kuondolewa sasa imekuwa Aiibu
 
Mzee amosi eee, omba fungu uambatane na wasanii kwemye ziara zako upate watu, utasomna watu kwa malori mpaka lini?
 
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Lisu,Heche wanaiuwa CHADEMA kwa mikono yao.Ni ukweli mtupu
 
Ukiangalia modeli ya bichwa la huyu guluguja huhitaji kuwa na elimu ya utabibu kujua kuwa ubongo wake ulichelewa kupata oxygen wakati anazaliwa, hivyo apuuzwe kwa kila atakalosema .
 
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Na hao watu ukiwaangalia vizuri watakua wamesombwa na magari, kupewa hizo tisheti na buku tano tano ili waje wapige kelele hapo
 
Hana mvuto kwa wananchi bila kuwahonga na kuwapa kanga, kofia na t-shirt watu hawaendi kwenye mkutano.
 
Lisu,Heche wanaiuwa CHADEMA kwa mikono yao.Ni ukweli mtupu
Hivi CHADEMA imekufa na kufufuka mara ngapi!!??
Nimeanza kusikia CDM imekufa tangu enzi za kina A. W. Kaburu aliporudi CCM, wakati ZZK na Kitila walipoondoka, na mpaka leo wimbo huo naendelea kuusikia!!
Hii CHADEMA inakufa mara ngapi!!??
 
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Tunasubir viruses vya ebola na mpox atuambie vinauzwa duka gani huyu mishavu bwege
 
Back
Top Bottom