PreGE2025 Amos Makalla: CCM haijiweki yenyewe madarakani, Watanzania ndio wanaamua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.

IMG_4014.jpeg
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."

Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

IMG_4015.jpeg
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."

Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.

View attachment 3306691

View attachment 3306693

Tumekupata kiongozi, CCM ingekuwa inajiweka ingekuwa inahangaikia na matatizo ya wananchi kutumia mbinu mbalix2 usk na mchana? CCM ni chama makini, nyenyekevu kwa watanzania kinacholinda tunu za Taifa letu. Viva CCM VIVA.
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.

View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."

Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."

Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Ni kweli CCM inawekwa na chawa na uchakachuaji. Ni uongo Watanzania hawaiweki madarakani. Wanataka na kutamani iende zake kama kanu na upc tena haraka. Amina
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.

View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."

Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."

Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Ndio hawa hapa. Na nyingine zikanakuja, tunaendelea kuzikusanya

Ni wakati wa NBAA kuchukua CPA yao kutoka kwa huyu jamas
Maana anaidhalilisha sana
 
ukweli mtupu mchana kweupe 🐒
 
Je maporini huwa wanaenda kufanya nini mkuu wa wilaya alitufumbua macho
 
Attachments

  • Screenshot_20250415_093714_X.jpg
    Screenshot_20250415_093714_X.jpg
    120.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250409_170157_X.jpg
    Screenshot_20250409_170157_X.jpg
    166.5 KB · Views: 23
  • Screenshot_20250405_004424_X.jpg
    Screenshot_20250405_004424_X.jpg
    160.3 KB · Views: 18
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    420.8 KB · Views: 19
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa ushindi wa CCM katika chaguzi mbalimbali hautokani na ujanja au nguvu ya chama hicho, bali ni ridhaa ya wananchi wanaokiamini kutokana na sera zake, mipango na utekelezaji wa maendeleo.

Makalla ametoa kauli hiyo Aprili 16, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 10 katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

"Nimesikia baadhi ya vyama wanasema tutashiriki uchaguzi, tumechoka kukiacha CCM kikiendelea kushinda uchaguzi, tumechoka CCM kuendelea kutawala. Jibu langu ni rahisi tu, CCM haijajiweka madarakani kwa nguvu, CCM inapata ridhaa ya wananchi, na hii ni kutokana na kukubalika kwake kwa sera, mipango na kuwaletea wananchi maendeleo," amesema Makalla.

Siku ya Jumatano Chama cha ACT Wazalendo kilitangaza rasmi kuwa hakitasusia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kikieleza kuwa kitautumia uchaguzi huo kama uwanja wa mapambano ya kupinga hujuma dhidi ya demokrasia na kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu, akitoa tamko hilo katika hotuba maalum iliyotolewa katika ofisi za chama zilizopo Vuga, Zanzibar alisema kuwa baada ya tafakuri ya kina, walijiridhisha kuwa CCM itafurahia iwapo vyama makini vya upinzani vitasusia uchaguzi ili iendeleze hujuma kwa demokrasia nchini hivyo wao ACT Wazalendo wamegoma kutoa fursa hiyo kwa CCM.
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."

Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."

Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Sisi tulioshuhudia Yale ya 2019,2020 na 2024 nasema Kwa hakika ya moyo wangu CCM inajichagua haichaguliwi na wananchi

CCM inapora ushindi kutoka Kwa wananchi Kwa kuiba kura waziwazi na kulindwa na polisi.
 
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."

Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."

Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Na chama hicho kipo Kwa mujibu wa sheria na Katiba na kwamba lazima kishiriki ili kuwapa wananchi haki ya kuchagua.
 
UONGO..mnawekwa na Waalimu & Mapolisi wenye vibegi
Hao mapolisi na walimu ni sehemu ya wananchi.Wangekua hawako upande wa ccm wasingefanya hivyo.Ni jukuumu la vyama pinzani kuwabadilisha hao mapolisi na walimu fikra ili badaala yakuisaidia ccm wavisaidie vyenyewe.Kama hawafanyi hivyo huo wimbo wakusema wananchi wamewakataa ccm inabidi ubadilike.
 
Back
Top Bottom