Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

Nimeelewa Kiongozi wewe una lake jambo na tusipoteza muda Ni uwongo mkubwa wa kutunga halafu utuaminishe chuki zako dhidi ya makala kuwa alishiriki kumfunga sugu - ni uwongo na unachuma dhambi- sasa hayupo si RC
Makalla kishatoweka na ndio basi tena ! Mungu hataniwi
 
Ukiwa kiongozi unapokea order toka juu 'fungal huyo sugu' au 'funga huyo lema' sasa utakataa upoteze maraha ya cheo kissa kufunga mpinzani msumbufu??!
Makala hakuwa muovu hivyo baadhi wanavyotaka kumsema nakama amepumzika siasa nivyema wake vijana sasa mnataka kilamtu awe kama kingunge?? Amekula hela nyingi kwenye uongozi mwacheni atulie nakama anavimaradhi basi ajitibu kimya kimys bila stress.
Tuongelee issues and ideas achaneni na watu bigi sinkers
 
😅😅😅
 
Huna maana kabisa wewe mama , wewe ulikuwa unamuunga mkono yooote aliyokuwa anayafanya na kuyasema, leo.................... umemgeuka. hata magufuli siku ikifika utamruka ulivyo wewe!
Hawa watu hawaeleweki mkuu
 
Amos makala anaweza akawa na madhaifu yake lakini kiukweli yeye ni gentleman. Hebu fuatilia utendaji wake alipokuwa RC wa Kilimanjaro, utagundua kwamba yeye ni kiongozi mzuri. Hili ya kupotea katika ulingo wa kisiasa ni kwa muda kwani anaweza kubounce back. Hebu tusubiri tuone hatima yake baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Ahsante

Nadhani muda sasa umefika.
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Mkuu tungekuona wa maana kama pia ungemuonya Mbowe na SACCOS yake,kwani vyote vitakuwa historia.
 
Nadhani hapa Kuna kuchafuana tu. Amos Makala alikuwa RC Bora kabisa na hata kuondolewa kwake Ni sababu hakuwa na siasa za kishamba za utekaji na kuwafunga watu. Kama sikosei pia kesi ya sugu wakati huo yeye alikuwa rukwa.
Ila baada ya hapo mbeya ndio walipata RC mvuta bange na alikuwa ni tarumbeta tu.
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Vizuri lakini Amos Makalla kaibuka kidedea Mvomero, sijui atapata uteuzi wa waziri?
 
Back
Top Bottom