GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.

Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM

Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri

makalla.png
 
kilaza huyu ataongea nini, nyinyi endeleeni kuibomoa tanganyika, haya anayofanya rostam angefanya zanzibar wangemuua wazanzibar
 
Uchaguzi wa CCM mwaka huu umegubikwa na rushwa na janja janja nyingi sana. CCM tuliyokua tunaijua siyo hii iliyopo. Chama kimebakwa na majambazi wazee wa Mtandao.
 
Back
Top Bottom