Amos Makala na Bajeti ya Bilioni moja.

Amos Makala na Bajeti ya Bilioni moja.

kanda2

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2007
Posts
1,319
Reaction score
76
Amos Makala anatumia pesa nyingi sana kusaka ubunge kwenye jimbo moja huko Morogoro.nguvu anayotumia ni kubwa sana.hadi sasa ametumia milioni mia nne.ndio kwanza safari inaanza.kuna taarifa kuwa bajeti yake ni Bilioni moja.hivi jimbo kama hilo la huko Morogoro shamba unatumia Bilioni moja. angegombea ILALA,KINONDONI,KAWE ANGETUMIA BILIONI NGAPI?

na anayepambana nae huko Jimboni si mbunge mwenye nguvu kutumia nguvu hizo zote.
Makala ana kazi gani ya kumuingizia pesa hizi zote?
 
Thibitisha taarifa zako.

Hiyo bajeti kaitoa kwenye chombo gani au ni maneno ya vijiweni!

Hizi ndizo habari za jukwaa la siasa kweli? au ni tetesi zilizoandikwa "Na Mwandishi wetu"!
 
Kaulize morogoro anafanya nini atamwaga pesa kama yeye ni epa au bot.
 
Back
Top Bottom