wataalam,niliwahi kuipata amos 5 kwa dish la Eurostar 6 ft kama miezi 3 iliyopita,lakini kwa sasa kila nikiijaribu haipatikani tena,setup ya dish iko sawa maana naipata leuters news ambayo pia ipo katika satellite hiyo hiyo,je optima wamebadilisha chochote wadau,msaada tafadhali maana natumia receiver ya DVB-S2 MPEG4 HD