jamani wana fta wenzangu,kwa hili msaaada wenu tafadhali,nataka ninunue offset dish ya EUROSTAR 120cm kwa 135cm na BLACK ULTRA high gain ku band 0.2 dbw HD DVB-S2 mpeg 4,kwa ajili ya kupata satellite zifuatazo kwa pamoja, NILESAT 7.3'W[nilesat 102,nilesat 201,eutelsat 7 west A,eutelsat 8 west C] na EUTELSAT 8'W[eutelsat 8 east-west africa A],je ntafanikiwa?na satellite gani nyingine naweza ongeza ku band nkazipata katika setup hiyo?ahsante