Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

Mlati

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
207
Reaction score
61
Habari wana jamvini kunadada mmoja jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee eko. Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?
 
kha hayo mateso jamani....bidada ana haki ya kufanya hivyo....wee masaa sita unamgegeda tuu!!!
 
kwan walioana bila kupitia uchumba(uhusiano)?kwan nijuavyo watu kama wamepitia relationshp kabla na kuridhiana ndio hufanya marriage.sasa alikubali nin kuolewa kama alijua mumewe haridhki?aache ushamba wake,kwan akioa wa pili ndo hatomgonga...huyo mwanamke ni mpuuz tu
 
Sasa wanawake ni watata na wapana ajabu, asipogegedwa HARIDHISHWA anatafuta mtu wa pembeni ETI AMRIDHISHE jamaa ameonesha MAPENZI YA KWELI kwa kumugegedeka kisawasawa napo KOSA, sasa lipi bora? After all hiyo ni dalili kwamba jamaa hatoki nje ya NDOA....Endeleza wembe huooo...
 
huyo mwanaume anafikiri kuwa K ni ugali???????? Au anadhani kutumia muda mrefu ni ujanja? Ujanja ni kumkojoza mkeo si kumpaka majasho masaa matano khaaa
 
Habari wana jamvini kunadada mmoja jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee eko. Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?

Kitu chochote kile kikizidi huwa ni kibaya, na pia mapenzi ni furaha na si mateso. Kamshauri rafiki yako ajitahidi kumuweka mumewe busy kwa kazi mbali mbali au kumpangia ratiba za kutoka, kusalimia ndugu, nk na pia kumshauri aanze mazoezi kwenye maeneo ya mazoezi huenda yatamkeep busy na kumfanya kuchoka na kutokwenda muda mrefu.

Kingine pia anaweza kumwambia ukweli kuwa muda anaoenda ni mrefu na kwake inageuka ni mateso na hivyo watafute namna ya kufanya ili wote wasijikute wanaumia.

Suala la kumshauri kuoa mke wa pili halina msaada sana, maana bado akiwa kwenye zamu yake atakuwa anagegedwa kwa muda ule ule na pia hii inahatarisha usalama wa ndoa yao pamoja na kujishushia kipato maana mumewe atalazimka kutunza familia mbila badala ya moja.
 
Akifanya mazoezi si ndio itakuwa baraaa jamaa atakuwa fit atagegeda usiku mzima
 
Hapana, akifanya mazoezi huwa anachoka na kisha anahitaji muda mwingi wa kupumzika. Mazoezi yamewasaidia sana watu kisaikolojia maana pia hupunguza hata ule muda wake wa kufikiria kugegeda na huleta uchovu utakaolazimisha kuhitaji mapumziko.

Aonane na watalaam wa mahusiano kwa ushauri zaidi. Wao ni mabingwa na wanaweza kumuokoa na hali hiyo.
 
Wanawake bana... tukipiga bao moja kwa wiki shida... tukipiga 6 kwa siku shida pia. Inabidi tukioa tupewe na user mannual...
 
Tuko acha masihara huyu jamaa anagegeda tangu saa tatu mpaka saa kumi alfajiri! Imagine!!! Hayo ni masaa saba! Na possibly hakuna mapumziko! Na hapo akienda kazini, akarudi mchana, badala ya kwenda kupata lunch, yeye anarudi kugegeda tena, kwa ile one hr ya lunch! This is siriaz case, huyo dada anaweza kuugua ati!!! We mpaka mtu anaomba aolewa mke wa pili ....
Tafakari!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine faida ya kukutana kimwili kabla ya ndoa inaonekana wazi
'
Niliwahi kusema kuwa inawezekana imani yako ikawa inasisitiza msijamiiane mpaka ndoa,lakini umewahi kujiuliza hiyo ndoa ni ipi?
'
Kuna mambo hayavumiliki,unaweza kujipa moyo unaweza lakini ni kujidanganya kuwa unaweza kuvumilia usichokijua
'
Unakuta mtu ana "mguu wa mtoto" unadhani panavumilika hapo?
 
Hii mada na wachangiaji wake, nimejikuta nacheka sana
 
Tuko acha masihara huyu jamaa anagegeda tangu saa tatu mpaka saa kumi alfajiri! Imagine!!! Hayo ni masaa saba! Na possibly hakuna mapumziko! Na hapo akienda kazini, akarudi mchana, badala ya kwenda kupata lunch, yeye anarudi kugegeda tena, kwa ile one hr ya lunch! This is siriaz case, huyo dada anaweza kuugua ati!!! We mpaka mtu anaomba aolewa mke wa pili ....
Tafakari!!!

Sijui dini ya huyo mdada,lakini kwani ni lazima aendelee kukaa kwenye hiyo ndoa?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake bana... tukipiga bao moja kwa wiki shida... tukipiga 6 kwa siku shida pia. Inabidi tukioa tupewe na user mannual...

Nimecheka sana aiseeee,JF neva boring!Lol!
 
Nimekumbuka kisa kimoja kuna dada mmoja aliolewa, alikuwa anakula "fimbo" usiku kucha,akija kazini ni kusinzia mtindo mmoja.Kuna siku aliwauliza akina mama wazoefu kama na wao ni hivyo hivyo kwenye ndoa zao,akaambiwa yake imezidi .
 
kwan walioana bila kupitia uchumba(uhusiano)?kwan nijuavyo watu kama wamepitia relationshp kabla na kuridhiana ndio hufanya marriage.sasa alikubali nin kuolewa kama alijua mumewe haridhki?aache ushamba wake,kwan akioa wa pili ndo hatomgonga...huyo mwanamke ni mpuuz tu

MKUU wanaume wengi WASHAMBA siku hizi wanakunywa madawa kama vile SUPERSHAFT kwa kutaka kuwakomoa wake zao! Akiinywa tu hiyo ANAGEGEDA usiku mzima, yawezekana hapo mwanzo alikuwa sawa ila sasa kaanza kutumia hizo
 
Back
Top Bottom