Amka sasa nimeingia kuwaamsha

sasa jukwaa lenyewa la mapenz ww hutak tuonge mapenz sasa tukaongelee wap joh em tuambie mzee waku amsha walio macho

hujanielewa mkuu, hapa inacholalamika ni ile hali ya kuwa too much kwenye mapenzi tu, watu wanashinda hapa, majukwaa ya maana hata hawaendi.
 
hujanielewa mkuu, hapa inacholalamika ni ile hali ya kuwa too much kwenye mapenzi tu, watu wanashinda hapa, majukwaa ya maana hata hawaendi.
Mapenzi ndo yana run dunia ndg..
 
Ndo maana nimekuja kusambaratisha huku maana watu wote wanashinda huku.

hahaha huwezi ndugu yangu kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake wengine hapa siasa inatupiga chenga
 
Sio bure huyu kaachika mda si mrefu na stress juu afu anashambulia watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…