umeingia choo sio chenyewe, jiangalie usikurupuke......Baada ya kuwa msomaji mkubwa wa jukwaa hili la MMU, nimegundua muda mwingi wa watu unaishia katika kuwaza mapenzi tu, matokeo yake wengi wetu tunaishia katika umasikini wa kutupwa, AMKA SASA nikuja kuwaamsha kwa kujaribu kuwatoa watu katika kuwaza tu mapenzi na kudhani wapo Duniani kwa ajili ya mapenzi, haujachelewa AMKA SASA.
ushaambiwa MMU unataka tujadili siasa hapa?
we vip nenda jukwaa la uchumi,kazi,biashara na ujasiliamali kajadili hayo maisha ya kuamka sasa
umeingia choo sio chenyewe, jiangalie usikurupuke......
mapenzi ndo yanazungusha dunia.....we are not promoting hatre here!
utanielewa tu.
wewe mbona mwepesi tu dogo.....
Ndo maana nimekuja kusambaratisha huku maana watu wote wanashinda huku.
ushaambiwa MMU unataka tujadili siasa hapa?
we vip nenda jukwaa la uchumi,kazi,biashara na ujasiliamali kajadili hayo maisha ya kuamka sasa
hahahah we vip bila mapenzi ungekuwepo?
Ungejua watu wanaochangia humu wana nyadhifa gani na elimu kiasi gani plus kipato cha aina gani!
Usingekuja na such retarded kinda thinking buddy!
Peleka ujinga huko ...majukwaa yote unaingia MMU kuwa maskini wewe siyo wote acha kukurupuka
kwani kumpata mtoto inahitaji muda gani? ukiwa makini si siku 1 tu inatosha kumpata.
hasa wewe, ndo nakuona huishi MMU, utalegea tu, najua hilo ni pepo tu.
ndo nyie mnaokuwa mahanisi alafu mnajifanya hampendi mapenzi
kumbe unayako yamoyoni
ngoja tuone nani mkweli.