Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Kocha mmoja aliwahi kusema
football is like that, sometimes like your mother and sometimes like your step mother
Amiss Tambwe ambaye aliwahi kung'ara na kuwa lulu ya simba msimu mmoja uliopita kuna tetesi kwamba ametupiwa virago pamoja na mwenzake Kwizera ambao wote ni raia wa Burundi
Simba imewaacha Warundi hao na kuwasajili kiungo Simon Serunkuma na Juuko Murishid ambao wamecheza mechi dhidi ya Yanga jana, wakaivutia kamati ya usajili.
Maana yake Simba itakuwa na wachezaji wote kutoka Uganda ambao ukiachana na hao wawili, kuna Danny Sserunkuma ambaye pia ni mpya halafu Emmanuel Okwi na Joseph Owino, wote kutoka Uganda.
famillah

- Simba imetema Warundi wote na kusajili Wganda wote
- Masikini Amissi Tambwe, naamini anaondoka na uchungu rohoni
- Waganda watano tujiandae, uwezekano wa kuwatuhumu kuhujumu au kuchelewa kurudi wakienda makwao
- Naamini hata wapenzi wa Simba watasononeka kwa Tambwe japo hata Kwizera alianza kukaa sawa
- That is football .........................
famillah