DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Kwa kishindo katika Mkoa huo wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) katika Uwanja wa Inyonga - Mlele Mkoani Katavi.