jamani hivi kusex ndio had mpigiane simu kujiandaa.hivi vitu ni hisia .ukionyesha mapenzi mwanamke akihisi yupo sehemu salama huhitaji kuwaza atafanya zaidi ya utakayo
Habari zenu nampenzi wangu nampenda sana nahisi kupokonywa muda wowote na kibaya zaidi sijatembea nae mpaka sasa hivi! nilienda nae hotel kwa makubaliano tukapate msosi na kujiachia nae mambo fulani tulivyofika hotelini nakalipia chumba kabisa tulipoingia ndani akanizingua hata kiss sikupata eti hayupo kwenye mood sijamtalifu kama tutafanya mapenzi tukaishia kupiga story mpaka saa 12 jioni nakusepa zake, Baada ya hapo nilimchana ukweli tukutane ili ajiandae tukikutana asinirushe kama alivyofanya mwanzo baada kumwambia hivyo anipiga chenga kila kukicha nipeni maujanja nifanyeje nimeshapoteza bahati ya kwanza kwa kujifanya mpole kwake nakumsikiliza matakwa yake na alichoniambia, nataka kucorect mistake niliofanya mwanzo mpaka akanizidi ujanja!!nifanyeje!
ukishamgegeda then wat next? tatizo ameshakushtukia kitu pekee unachotaka ni papuchi yake tu, badilisha msimamo wako juu yake kimawazo na kimatendo, futa kabisa habari za ngono yani usigusie kabisa badala yake anza kumfanya ajihisi unampenda na kumuhitaji na si kumtamani, mtoe outings za sehemu kama beach hivi au hata kama ni lunch basi ziwe restaurant na si mahotelini manake anaweza hisi unampeleka huko kwajilli ya ngono, vizawadi hapa na pale mpaka asahau kama ulishawahi kugusia kitu hicho, then utaona mwenyewe
aaah mrsleo,,,umemaliza yote!kesho nkumbushe nkugongee like..!teh teh
hahahaaa sasa utajisifia kwa lipi kama sio hilo? wazazi wetu walijisifia kuwa Waliwakuta mabibi zetu wakiwa BIKRA sasa nowadays ngoma droo, si heri nijivunie kuwa nililia hahahahaaaaaa unabembeleza hadi ukipewa hata hamu yenyewe imeisha...........hahhaaaaaaaaaaa mpwa nakupatia pozi ukiwa unalia
Hahahaa! Lol utoto nao kaz kweli