autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Mi mwenzio nilililia na kupiga magoti hadi akakubali zaidi ya masaa mawili na nusu nabembeleza tena kwa machozi hadi magoti yanauma......usiwe mvivu na kujifanya mwema sana! hawataki wema hao. Work hard and AIM higher ila michepuko sio dili
Ww ni dhaifu kweli unaliaa tena na kupiga magoti....
Hii ni fedheha kabisa kwa jamii ya wanaume.
Usijitape kuwa ulikula mzigo ..
Alikuonea huruma .
Nadhan hio ndo ilikua mara ya kwanza na mwisho.
Tumia ulijali wako sio kujiliza.
Hakuna mwnamke anaemtaka mwanaume dhaifu anaejiliza .
Hovyoooo kabisa.