Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Habari zenu nampenzi wangu nampenda sana nahisi kupokonywa muda wowote na kibaya zaidi sijatembea nae mpaka sasa hivi! nilienda nae hotel kwa makubaliano tukapate msosi na kujiachia nae mambo fulani tulivyofika hotelini nakalipia chumba kabisa tulipoingia ndani akanizingua hata kiss sikupata eti hayupo kwenye mood sijamtalifu kama tutafanya mapenzi tukaishia kupiga story mpaka saa 12 jioni nakusepa zake.
Baada ya hapo nilimchana ukweli tukutane ili ajiandae tukikutana asinirushe kama alivyofanya mwanzo baada kumwambia hivyo anipiga chenga kila kukicha nipeni maujanja nifanyeje nimeshapoteza bahati ya kwanza kwa kujifanya mpole kwake nakumsikiliza matakwa yake na alichoniambia, nataka kucorect mistake niliofanya mwanzo mpaka akanizidi ujanja! nifanyeje!?