Amini usiamini msimu wa ligi kuu bara utaisha hivi:

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
1.young african
2.coastal union
3.simba sports club
4.african lyon
5.azam fc
6.ruvu shooting.
Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua nafasi mojawapo na ikawa kweli.AZAM Hawatakuwepo kwenye nafasi hizo tena kutokana na wao kujiingiza kwenye siasa kama za kina rage.
 
Hadithi Njoo Uongo Njoo Utamu Koleaaaaa.. Inshort jiandaeni kufanya uchaguzi mwingine.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yanga ina kila sababu ya kuwa bingwa msimu huu kwa sababu ya usajili iliofanya.kwa sababu foward iko vizuri kuliko kawaida,safu ya ulinzi iko imara kama ukuta wa Berlin,walinda mlango batez na beko wako safi sana yaan akitoka mmoja anapoingia mwingine hamna pressure. Yanga ina nafas kubwa pia kutokana na bench la ufundi kuwa makini na kutegemeana kiutendaji,yaan mgawanyo wa majukumu uko vizuri.
 
Mwaka gani Yanga haijafanya usajili wa kutisha?? Combination za hatari?? Mazoezi ya kijeshi??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dah,yanga bwana mnakuaga na maneno miiiigi ila vpigo tu ndo vinawaumbuaga.jiandaeni tena kula 7 safari hii.
 
Watu(simba)tunawaza champions league nyie endeleeni kukomaa na ligi yenu hyo ya vodacom.
 
mmhhh ligi inatimu 14 sas hiyo ligi kuu ya timu 6 ni ya top six au mtibwa,toto na timu nyingine zimejitoa?
 
ungekuwa Arusha ningekulipia angalau ukaangalie timu za level ya juu kama sima na Azam fc binafsi nashangaa sana yanga kujaribu kujifananisha na simba wakati hata kombe la washindwa hashiriki bora niongee na mashbiki wa azam maana ngalau wana leta ushindani kwa simba siyo hawa yebo yebo aka wazee wa 5- 0.
 
Mwaka ambao mgonjwa atakufa,hata ufanyeje atakufa tu,hata umpeleke st. Thomas,atakufa tu,ndio mgonjwa wangu simba anafanya kila mbinu mwaka huu asifariki,kipigo kipo palepale hadi siku watakapo mfukuza fisadi rage,rage ndio anawahujumu simba
 
1.young african
2.coastal union
3.simba sports club
4.african lyon
5.azam fc
6.ruvu shooting.
Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua nafasi mojawapo na ikawa kweli.AZAM Hawatakuwepo kwenye nafasi hizo tena kutokana na wao kujiingiza kwenye siasa kama za kina rage.

:biggrin1: hapo hata sipingani na wewe kabisa
 
1.young african
2.coastal union
3.simba sports club
4.african lyon
5.azam fc
6.ruvu shooting.
Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua nafasi mojawapo na ikawa kweli.AZAM Hawatakuwepo kwenye nafasi hizo tena kutokana na wao kujiingiza kwenye siasa kama za kina rage.

hayo ni maono yako..kama umekuw sheikh yahya fungua ofisi...
 
Mwaka ambao mgonjwa atakufa,hata ufanyeje atakufa tu,hata umpeleke st. Thomas,atakufa tu,ndio mgonjwa wangu simba anafanya kila mbinu mwaka huu asifariki,kipigo kipo palepale hadi siku watakapo mfukuza fisadi rage,rage ndio anawahujumu simba

sio Manji ndo anaihujumu simba?muwe wakwel msiendeshwe na mifuko ya watu..tumbo iliponza ma*t*ko yakatobolewa..
 
1.young african
2.coastal union
3.simba sports club
4.african lyon
5.azam fc
6.ruvu shooting.
Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua nafasi mojawapo na ikawa kweli.AZAM Hawatakuwepo kwenye nafasi hizo tena kutokana na wao kujiingiza kwenye siasa kama za kina rage.
The first shall be the last
 
Nyie watu wa yanga kweli mazumbukuku, hiyo kagame cc 2wechukuwa mara 6, sasa hivi simba inawaza kuwa kama tp mazembe sio kama nyie. Nawashangaa sana mnaposifa panga kwa kukata mgomba.
 
....hivi!!! mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba zaidi ya goli 4 ilikuwa ni lini????; jamani tukumbushane bwana miaka inaenda na deni linaongezeka; kuna 5, kuna 6 duh!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom