Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,379
Hapa nahitaji mamlaka zaidi ya maneno yako tu maana unaweza ukawa unatunga.
Kaka kwa nini nitunge? Fatilia utaona ukweli, nadhani hata kwenye hiyo kamusi ya Kiswahili unweza kupata asili ya neno Jangili
fatilia pia maana ya neno Marehem Kiswahili na Kiarabu