Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..

Kuna kiongozi WA chama Fulani huwa rafiki zake wanamuita Baunsa.....ngoja nikale kwanza
 
Kuna baadhi ya madawa ya kuongeza misuli huwa yanapunguza/yanaondoa nguvu za kiume, hivyo inabidi kuwa makini na madawa ambayo huyafahamu kiundani.
 
Ila wale hawana hele kweli

Inapenda hela sana? au ndio Xseries na Vseries ziko tempting?

mweeee......mimi sitaki wa club......au fasheni shoo.......khaaaa.......kwanza hawana hela.......
 
Duh! Yaani kweli kidume akubali kuhemewa? Aisee!! Hii raha ya kuwatafuna mabinti wao hawaioni??
 
Ama kweli Watanzania wengi bado ni wajinga sana.

Hivi baunsa maana yake nini? Akipatikana hata mtu mmoja anayejua nitashangaa sana.
 
inakera sana hii tabia! ila pia wale mabaunsa ambao sio mashoga nao ni machangu wanajiuza kwa wamama watuwazima au wadada wenye nafasi zao. huwezi kuamini lakini nao wanajipanga na kukimbilia gari kama mabinti wafanyavyo! temebelea vilabu vya usiku mjini...

Hii ya mabaunsa ina ukweli kiasi fulani
 
Hapo je?
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1369741270533.jpg
    uploadfromtaptalk1369741270533.jpg
    46.5 KB · Views: 133
Hii ya mabaunsa ina ukweli kiasi fulani

Mabaunsa maana yake nini? Na una takwimu zozote zinazo-support madai yako?

Manake magay wapo wa kila aina - kuna wanasheria 'wasomi' ambao ni magay, kuna mapadri. maaskofu, na mashehe ambao ni magay, kuna maprofesa ambao ni magay, kuna wanajeshi ambao ni magay, kuna madaktari ambao ni magay, kuna wanamichezo ambao ni magay....

Kwa kifupi ugay hauna umbile, daraja, taaluma, kada, fani, rangi, dini, kabila, jinsia, wala utaifa. Sasa sijui nyinyi hayo ya mabaunsa mmeyatoa wapi tu. Au mnafanya nao huo ugay?
 
Duuu Nyani Ngabu nakuheshimu sana! ila sidhani km nimekuelewa vema! unasema????
 
Last edited by a moderator:
Duuu Nyani Ngabu nakuheshimu sana! ila sidhani km nimekuelewa vema! unasema????

Hamna neno, hebu twende taratibu na ni imani yangu tutaelewana tu.

Tuanze na fasili ya baunsa ambalo ni neno lililoazimwa toka kwenye Kiingereza. Fasili ama definition ya bouncer ni nini?
 
Tuanze na fasili baunsa ambalo ni neno lililoazimwa toka kwenye Kiingereza. Fasili ama definition ya bouncer ni nini?

ngoja mjadala niwaachie wengine, ili mimi niendelee kukuheshimu!
 
Hamna neno, hebu twende taratibu na ni imani yangu tutaelewana tu.

Tuanze na fasili ya baunsa ambalo ni neno lililoazimwa toka kwenye Kiingereza. Fasili ama definition ya bouncer ni nini?

Mkuu neno lililotoholewa kutoka lugha moja kwenda nyingine sio lazima liwe na maana ileile, inaweza kuwa na maana inayoshabihiana au landana na linaweza kuwa tofauti kabisa na neno la asili, cha muhimu ni kwa ile lugha kulitumia lile neno kwa ufanisi kwa maana ya kufikisha ujumbe bila kuwa na kikwazo

hivyo neno bouncer la kiingereza na baunsa la kiswahili yanaweza kuwa na maana tofauti japo yanaweza kuwa na asili moja

na hilo sio neno la kwanza, yapo mengi sana kwenye kiswahili, lipo neno jungle-jungly lenye asili ya Kihindi na kisha kiingereza na kiswahili tukapata neno Jangili
 
Baunsa halitumiwi ipasavyo. Na ni Watanzania wachache sana wanaojua maana yake. Wewe unajua maana yake ama na wewe ni miongoni mwa wale wajinga (ujinga siyo tusi - ni hali ya kutofahamu kitu ama jambo tu)?

hivyo neno bouncer la kiingereza na baunsa la kiswahili yanaweza kuwa na maana tofauti japo yanaweza kuwa na asili moja

Unajua TUKI inalifasili vipi hilo neno la baunsa?

na hilo sio neno la kwanza, yapo mengi sana kwenye kiswahili, lipo neno jungle-jungly lenye asili ya Kihindi na kisha kiingereza na kiswahili tukapata neno Jangili

Hapa nahitaji mamlaka zaidi ya maneno yako tu maana unaweza ukawa unatunga.
 
Back
Top Bottom