Amini usiamini, mabaunsa wengi ndiyo mashoga..

alexmahone

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
482
Reaction score
408
Salaam.,

Juzi nilikuwa kwenye kijiwe cha kahawa, na wadau kadhaa tukipeana stori mbili tatu huku mzee Toboa tobo na kijana Razack machuma wakionyeshana ubabe kwenye bao.Dakika kadhaa za mchezo mzee Toboa T, alitangaza ndoa kwa kijana Machuma baada ya kumpiga bao tulichosikia ni ' Nshakuoa Yakhe, na ulivonona hivyo, motoo ntakuwashia leo ngoja nikafukue mafuta yngu ya zeituni maana K*Y ya wazungu bhana.

Nikamwambia weh mzee baunsa kama huyo , hata akikupa utapitisha wapi tumbaku kila sehemu misuli.Alichonijibu ni kwamba fanya uchunguzi kijana,Mabaunsa ndio wanaotafunwa kwa sasa tena wale wa Club ndo rahisi sana kuwapata, wale wa Fashion show ni maharagwe ya mbeya.Tulichekaa sana ila mi sikuishia pale,nikatua FB nijaribu kucheki profile zao.Hakika Mzee Toboa T alikuwa sahihi.Jionee mwenyewe hapo chini.
 
Attachments

  • shogz.jpg
    shogz.jpg
    75.9 KB · Views: 1,242
  • 73300_563679333659549_2139752172_n.jpg
    73300_563679333659549_2139752172_n.jpg
    131.7 KB · Views: 1,281
  • 377758_506520786042071_543076950_n.jpg
    377758_506520786042071_543076950_n.jpg
    17.1 KB · Views: 1,064
ni kweli kuna cku tulikuwa sehemu akaja baunsa mmoja wote tukaogopa lakini,mara akapokea simu akawa kama anumuelekeza mtu sehemu alipo lkn the way alivyopokea na yale mapozi wote tukadaught,mara akatokea mwarabu,aisee huwezi amini alimpakata pale pale
 
SIna data, sina haki ya kuhukumu
Ila hii tetesi ipo sana
Na imenifanya nawaogopa sana 6packs
Sasa Preta be careful labda uwe hujali hili
 
Last edited by a moderator:
Hii habari inahuzunisha sana lakini sijui nisemeje.
Juzi j4 nilikuwa mitaa ya kinondoni studio nikiwa naelekea mitaa ya shentembaa
alipita baunsa mmoja wa club moja maarufu sana hapa kinondoni sasa nilishangaa sana kitu kimoja
sote tunatembea njia moja kufika hapo baa ya stereo nikaona jamaa anaitwa psiiiiii akageuka mweeeh! Jamani hilo pozi hata mm mtoto wa kike sina, akamwendea alomwita yaani nilikuwa na hamu ya kuku wa kuchoma nilipoona ameingia sterio baa niliendelea kana kwamba sikua na mpango wa kununua kuku pale. Ndipo nikamsimulia shosti yangu mmoja akaniambia mbona huyu ndo kazi yake?? Nilichoka mwili na roho.
 
++
MWL WANGU,
Usihuzunikie kizazi kilichokwisha kazi yake

++
 
mwanaume hata kama rijari ukikubali kuingiliwa mara moja na kumwagiwa shahawa tu zikikaa kwa siku mbili zinaoza kwani sio sawa na mwanamke baada ya kuoza kunatokea fangasi au wadudud wadogo wanaowasha washa sana ndio maana shoga anafikia wakati anaenda kumlipa mwanaume ili amsugue tu kutokana na wadudud
 
Hizi habari huwa zinanichefua sana...hivi kweli mwanume na korodani unakubali kushikishwa ukuta...
Wenyewe wanasema ni tatizo la kimaumbile!Aliyekupa wewe kawanyima wao!
 
Hii habari inahuzunisha sana lakini sijui nisemeje.
Juzi j4 nilikuwa mitaa ya kinondoni studio nikiwa naelekea mitaa ya shentembaa
alipita baunsa mmoja wa club moja maarufu sana hapa kinondoni sasa nilishangaa sana kitu kimoja
sote tunatembea njia moja kufika hapo baa ya stereo nikaona jamaa anaitwa psiiiiii akageuka mweeeh! Jamani hilo pozi hata mm mtoto wa kike sina, akamwendea alomwita yaani nilikuwa na hamu ya kuku wa kuchoma nilipoona ameingia sterio baa niliendelea kana kwamba sikua na mpango wa kununua kuku pale. Ndipo nikamsimulia shosti yangu mmoja akaniambia mbona huyu ndo kazi yake?? Nilichoka mwili na roho.

Duh JF bwana, hayo maeneo na huyo mtu ni kama namfahamu vile, inawezekana tupo majirani kabisa na wala hatufahamiani, nitaku PM kama hutojali
 
Hii habari inahuzunisha sana lakini sijui nisemeje.
Juzi j4 nilikuwa mitaa ya kinondoni studio nikiwa naelekea mitaa ya shentembaa
alipita baunsa mmoja wa club moja maarufu sana hapa kinondoni sasa nilishangaa sana kitu kimoja
sote tunatembea njia moja kufika hapo baa ya stereo nikaona jamaa anaitwa psiiiiii akageuka mweeeh! Jamani hilo pozi hata mm mtoto wa kike sina, akamwendea alomwita yaani nilikuwa na hamu ya kuku wa kuchoma nilipoona ameingia sterio baa niliendelea kana kwamba sikua na mpango wa kununua kuku pale. Ndipo nikamsimulia shosti yangu mmoja akaniambia mbona huyu ndo kazi yake?? Nilichoka mwili na roho.

Nachokuaminia dada yangu upo makini kweli barabarani!
Halafu maeneo kama Kinondoni ni kama heaven kwao sijui kuna nini, labda tumuulize Madame B
 
Last edited by a moderator:
inakera sana hii tabia! ila pia wale mabaunsa ambao sio mashoga nao ni machangu wanajiuza kwa wamama watuwazima au wadada wenye nafasi zao. huwezi kuamini lakini nao wanajipanga na kukimbilia gari kama mabinti wafanyavyo! temebelea vilabu vya usiku mjini...
 
Hapa mnanichanganya

Mabaunsa>>kinondoni

Yani picha nnayoipata ni yule mwana hip hop anayekaa mitaa hiyo yule mbabe mbabe yule,zaman alikuwa anaziba jicho!

Duh ila yataka moyo!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Zamani watu walikuwa wanasema eti bora uzae mtoto wa kiume mana wa kike utapata presha eti watu watakuwa wanamgegeda, sasa kumbe bora wa kike maana ni kawaida ata ukisikia ana boyfriend huna shida ni mambo ya kawaida. Siku hizi wenye watoto wa kiume wanaugua kila siku hasa watoto wa boarding weeee!!! Mbaya zaidi unakuta watoto wa kiume siku hizi wanapenda sana taarabu ha ha ha ha!!
 
Aisee kwa kweli tunakoelekea,Mungu ndiye ajuae.
 
mwanaume hata kama rijari ukikubali kuingiliwa mara moja na kumwagiwa shahawa tu zikikaa kwa siku mbili zinaoza kwani sio sawa na mwanamke baada ya kuoza kunatokea fangasi au wadudud wadogo wanaowasha washa sana ndio maana shoga anafikia wakati anaenda kumlipa mwanaume ili amsugue tu kutokana na wadudud

duh kwanza hio profile pic yako inanitia mashaka...... then hii idea uliyosema hapo sijawai iskia popete inaalekea we mtaalam sana wa mambo haya. Funguka kidogo.
 
mwanaume hata kama rijari ukikubali kuingiliwa mara moja na kumwagiwa shahawa tu zikikaa kwa siku mbili zinaoza kwani sio sawa na mwanamke baada ya kuoza kunatokea fangasi au wadudud wadogo wanaowasha washa sana ndio maana shoga anafikia wakati anaenda kumlipa mwanaume ili amsugue tu kutokana na wadudud

duh kwanza hio profile pic yako inanitia mashaka...... then hii idea uliyosema hapo sijawai iskia popete inaalekea we mtaalam sana wa mambo haya. Funguka kidogo hii analysis umepata wapi nikafanye research.
 
Hii habari inahuzunisha sana lakini sijui nisemeje.
Juzi j4 nilikuwa mitaa ya kinondoni studio nikiwa naelekea mitaa ya shentembaa
alipita baunsa mmoja wa club moja maarufu sana hapa kinondoni sasa nilishangaa sana kitu kimoja
sote tunatembea njia moja kufika hapo baa ya stereo nikaona jamaa anaitwa psiiiiii akageuka mweeeh! Jamani hilo pozi hata mm mtoto wa kike sina, akamwendea alomwita yaani nilikuwa na hamu ya kuku wa kuchoma nilipoona ameingia sterio baa niliendelea kana kwamba sikua na mpango wa kununua kuku pale. Ndipo nikamsimulia shosti yangu mmoja akaniambia mbona huyu ndo kazi yake?? Nilichoka mwili na roho.

kwa kweli inatia kichefu chefu,shida ni umaskini,fashion au nini jamani?Mungu atueoushe
 
mwanaume hata kama rijari ukikubali kuingiliwa mara moja na kumwagiwa shahawa tu zikikaa kwa siku mbili zinaoza kwani sio sawa na mwanamke baada ya kuoza kunatokea fangasi au wadudud wadogo wanaowasha washa sana ndio maana shoga anafikia wakati anaenda kumlipa mwanaume ili amsugue tu kutokana na wadudud
Some people.....!!!
 
SIna data, sina haki ya kuhukumu
Ila hii tetesi ipo sana
Na imenifanya nawaogopa sana 6packs
Sasa Preta be careful labda uwe hujali hili

mweeee......mimi sitaki wa club......au fasheni shoo.......khaaaa.......kwanza hawana hela.......
 
Back
Top Bottom