Amini usiamini ila ukweli ndo huu

Amini usiamini ila ukweli ndo huu

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Aiseee Leo jua kama limewahi kuchomoza hivi . siyo mbaya mu wazimia wana MMU.

Kuna wanaume wanajifanya wagumu sana kwenye mahusiano yao , yaani wao kuyapeleka peleka kibabe mahusiano ndo zao , Mara mchumba atakula kofi bila kosa la msingi, Mara mama mtu anafokewa fokewa tu ukimuuliza anakwambia ndo uanaume inabidi uwapeleke kijeshi .

Amini nakwambia watu wapole kama sisi tunagongewa baridi kiroho safi lakini wanaume wababe wababe ndo wanaongoza kwa kupelekeshwa na mapenzi , yaani ni kazi rahisi sana kutoka na demu wa mwanaume mbabe kuliko mwanaume mpole na mnyenyekevu

NB: weka akilini hilo utakuja kunishukuru baadae, ukibisha wewe ni nani ambaye hujawahi kugongewa
 
Umeandika ukiwa ndotoni hebu amka sasa Dunia imegeuka huku
 
Ninachojua mimi Mwanaume mpole na mnyenyekevu hana mvuto kwa kundi la wanawake wengi
wachache sana wanawezana na wanaume wanyenyekevu bora upole ila unyenyekevu ni tabia ya kike.
Kuhusu ukali hauboi sana ila kufikia kuanza kumpiga mwanamke na kuanza kumtukana hiyo ni kesi nyingine.

Ningemshauri mwanaume awe mkali kuliko mpole na mnyenyekevu kuhusu kupelekesha na mapenzi.Sababu nne zinasababisha mwanaume apelekeshwe kwenye mapenzi ni
1.Hana focus ya maisha,hana malengo makubwa,hana direction ya maisha yake
2.hajui kutongoza
3.Hana msimamo
4.hajiamini
 
Wanasema ile ni mali yao na haisomi kilometers

NB, Kwa hiyo mzee mlioko kwenye ndoa kumbe mnagongewa eti alafu mnajua kabisa
 
Kukubaliwa na kadem pamoja tu ,tayari ushakua motivesheni spika
 
Back
Top Bottom