Amini usiamini ila, hivi ndivyo ilivyo!

Nilidhani unafahamu, kumbe na wewe bado una-hypothesize tu?
 
na wewe Barbarosa bana kwani nani hajui humu Id yako nyingine Ni barbarosa yenye avatar ya German Shepherd

Endelea Tu KUOTA Ila Nakuhakikishia Kuwa Tangia NIJIUNGE Humu JF Sijawahi Na Sitawahi Kuja Kuwa Na ID Nyingine Kwani Hii Hii IMESHANITAMBULISHA DUNIANI KOTE Hadi Sasa Kuna Watu Huko MITAANI Wanajiita GENTAMYCINE Na Kuna Wazazi Wengi Wa KIHAYA, KIHA, KINYIRAMBA, KINYATURU Na KIRANGI Wanawapa Watoto Wao Majina Ya GENTAMYCINE Isipokuwa Ni Nifah Tu Pekee Ndiyo Kaamua Kumuita Mwanae Jina La POPOMA ALIYETUKUKA. Mkuu Lakini Si Hata Wewe Mwenyewe Unaitamani Hii ID ILIYOTUKUKA? Nikupe au Tubadilishane?
 
🙂 😀😀 Haya mkuu.. Nimekusoma..
 
Nilidhani unafahamu, kumbe na wewe bado una-hypothesize tu?

Ni Bora Tu Ungeanza Na Ama Kiswahili Moja Kwa Moja au Ungejibu Tu Kwa Kiingereza Moja Kwa Moja Kwani Huwa SIPENDI Mtu Anayechanganya Kiswahili Na Kiingereza Anapoandika. Kwahiyo Neno Lako La KIINGEREZA Ulilolikalili Ni Hilo Tu Pekee? Kuna Watu Hapo Sasa Umeshawapoteza Na Pengine Hata Kuwatisha au Kuwakatisha Tamaa Wasichangie Kwani KIINGEREZA Kwa Tanzania Ni Sawa Sawa Na Nigeria Na BOKO HARAM!
 
Ni kweli.mwanamke anakua bwege kwa mwanamme kwa vile anahitaji rungu ambalo hawezi kua nalo mwilini mwake.na halikadhalika mwanamme anakua lofa kwa mwanamke kwa vile anahitaji papuchi ya mwanamke ambayo yeye mwanamme hana mwilini mwake.kutegemeana huku ndio kunaleta ubwege na ulofa.
 
@Mathematican
 
@Mathematican

mathematican ni kiingereza cha wapi? kwani ungeandika tu kwa kiswahili mwanamahesabu usingeeleweka mkuu? watu wengine mnatafuta kudharaulika au kuchoreka humu wenyewe! haya badalisha upesi hilo neno tafadhali kwani nimekaa hapa jirani na mkenya na mganda na wameliona na wananicheka sasa kwakuwa wanajua kuwa wewe ni lazima tu utakuwa ni mtanzania mwenzangu ambao kiingereza kwetu ni kama jehanam.
 
Mkuu wazee wa Bandari walikuwa wanahonga mpaka magari chezea Derila kwenye ubora wake Samsoni alinyolewa nywele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…