Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Waislam wangelimpiga karibu ya kufa huko kwao Pakistan anachezea Dini huyooowangemkamata hulyu jamaa sijui angeeleza nin
Mpiga picha alikuwa yeye ni muandishi wa habari hizi alikuwa haswali hahahahaahhahahSasa mpiga picha nae aliingiaje mskitini? Na alikua hasujudu yeye?
Kali kupita kiasi tena kam ni pombe itakuwa ni Pombe ya kibena Pombe ya Mlanzi hahahahahah kazi kweli wenye simu za mikononi.....Kwa hiyo wenzie walipokuwa wanasema ile swala ya pamoja ya "takibir" yeye ananongoneza kwenye simu "nitakupigia baadae". Kweli hii nayo kali!
Waislam wangelimpiga karibu ya kufa huko kwao Pakistan anachezea Dini huyooo
Sasa mpiga picha nae aliingiaje mskitini? Na alikua hasujudu yeye?
Hii ni joke Mkuu sio kweli hahahahahahahhhahahah hii ni PhotoshopWacha uongo na kuharibu dini za watu kwa maoni yako potofu.