Amini kwamba: Matangazo ya nje ( Out door adverts) yana impact kuwa zaidi kuliko matangazo ya mtandaoni ( Digital Adverts)

Amini kwamba: Matangazo ya nje ( Out door adverts) yana impact kuwa zaidi kuliko matangazo ya mtandaoni ( Digital Adverts)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Nianze kwa kutoa hongera kwa fans wangu wote ambao mlinimiss na ambao mmefurahi kuniona tena kwenye jukwaa hili pendwa. Back to the point.

Amini kwamba matangazo ya nje ( Outdoor Adverts) ya na impact kubwa kuliko matangazo ya mtandaoni.
Ndio maana kampuni kama JCDecaux ambao wameanza ku operate mwaka 1963, hawajawahi kutetereshwa na ujio wa social media. Zaidi they keep on making profit and profit.

Wakati naanzisha kampuni yangu ya Outdoor adverts sikuwahi kufikiria kama ingeweza kuwa na impact kiasi hicho. Nadhani labda nadhani kwa sababu nimefanya kitu ambacho nina kipenda kutoka moyoni.. And started the company just for funny.

Ukiwa na kipaji cha kuandika matangazo.

Ukiwa unapenda kazi ya kufanya matangazo.
Ukiwa una walau basic knowledge of human nature/ human psychology / science of mind

Basi believe me, kupitia Outdoor campaigngs unaweza kupata faida kubwa sana na ya uhakika kuliko yule anae jitangaza kupitia mitandao ya kijamii...

Kwanza unawafikia walengwa sahihi unao wahitaji na kwa wakati.

Kwa mfano lets say tangazo lako linahusu jinsi ya kutengeneza visheti vya kisomali au vitu vya kuuza watoto shuleni, basi utalipeleka moja kwa moja shuleni kwa wajasiriamali wanao fanya biashara ya kuuza vikorokocho vya watoto shuleni.

Hapo una kuwa umewafikia walengwa moja kwa moja, jambo ambalo mtu wa digital marketing asingeweza.

Mtu wa digital eidha atafanya sponsored ad ama atatuma tangazo kwa mtu mwenye followers wengi ambao hana uhakika kama miongoni mwao wamo wauza vikorokocho mashuleni..

Kama ume target eneo moja, utapata matokeo mazuri zaidi kuliko mtu wa digital marketing..

Kwa mfano ninataka tangazo langu liwafikie watu wa Msasani.

With outdoor marketing, naweza kuzunguka msasani yote na nikawafikia watu wengi zaidi tofauti na mtu wa digital marketing..

Ni rahisi zaidi kwa watu wa mtaani kuichukua brand mtaani kuileta kwenye social media kuliko watu wa social media kuitoa brand kwenye social media kuileta mtaani..

Mifano : Bar Kali zote unazo zijua wewe zinaanzia kuwa maarufu mtaani then watu wa mtaani ndio wana zileta kwenye social media..

Hata kwenye magroup ya Facebook, ni rahisi sana kwa group let's say la " Wazawa wa Magomeni " Kuwa na members elfu 20 ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwake bila admin kulipa chochote fb kuliko wewe kuanzisha group lako na kulipia sponsored ad lipate watu..

One Point bar ya chanika ina weza kuwa na followers let's says elfu 30 @ Instagram na Elfu 40 @ Tiktok ambao ni real followers na ambao wameanza kwanza kuijua bar ndio wakaenda kuifollow on socials lakini ni ngumu sana kwa mfanyabiashara au mjasiriamali kuanzisha Instagram account au Tiktok account na ikapata real followers walau elfu kumi ndani ya lets say miezi Sita au mwaka mmoja..

Wengi wanao follow hizo accounts wanakuwa ni just observes and not real customers tofauti na huyu ambae wamemjua kwanza mtaani ndio wakamfollow.

Faida nyingine kubwa kuliko zote, ukifanya matangazo ya Outdoor you don't need to worry about " Hater's comments" tofauti na social media mtu anaweza kucoment chochote anacho jisikia. Komenti nyingine inaweza kuwa na bad impact to your business.

Hata designers/ engineers wa social media wali desa kwenye real life situations , something which means that, vitu vyote unavyo vipata kwenye social media, vina exist kwenye maisha halisi ya mtaani 👇

1. LIKES = Ukipendeza watu wata like. " Like duh yule mrembo kapendeza au yule jamaa katokelezea etc.

Ukifanya jambo jema katika Jamie watu wata like pia.

2. COMMENTS: Ukifanya jambo Zuri au baya watu wata comment accordingly.

3. SHARE : ukitoa taarifa muhimu wata share kwa wengine.

4. DOWNLOAD : Ukifanya ama ukiongea jambo la kuwa impress watu watalichukua kutoka kwako kwa matumizi yao binafsi.

Sisemi usijitangaze kwenye social media, ila unapoteza less nyingine sana kwa kuto kufanya outdoor advertisements.

N. B: wale vilaza wa Lipia Tangazo, sijitangazi.. Ku jitangaza hapa = to reveal my identity..

Basi Numbisa kafurahi kuona Uzi wangu.
 
Huu uzi wako tungeupata kutokea mtaani ingea imeenda a sana na uhalisia wa ulicho andika mkuu...
Kwanini hukuandika na kupirnt vipeperushi vingi kuhusu huu Uzi alafu ukasambaza mtaani ili watu wa JA wapata ujue kutokea mtaani
Outdoor advertising ni zaidi ya kusambaza vipeperushi mkuu.. Kusambaza vipeperushi is just a footnote in the book of Outdoor Advertising
 
Huu uzi wako tungeupata kutokea mtaani ingea imeenda a sana na uhalisia wa ulicho andika mkuu...
Kwanini hukuandika na kupirnt vipeperushi vingi kuhusu huu Uzi alafu ukasambaza mtaani ili watu wa JA wapata ujue kutokea mtaani
Nimekusoma boss unatukana mabeberu huku Kila unachotumia ni chao,Hadi moyo una pacemaker ya wazungu
 
Ndio maana tunatumia milions😏
1000052562.jpg
1000052561.jpg

1000052563.jpg
 
Sure outdoor zinarudi tena kwa kasi sasahv japo Hapa katikati zilikata upepo kdg nadhani ni kwasbb ya ule ushamba wetu kushobokea Mambo kwa muda kisha watu wanarudi kulekule....Me nadhani kikubwa ni ubunifu tu.
Kuna nchi flan hv siikumbuki vzr ila Kuna billboard imewekwa eneo ambalo Huwa Kuna foleni sana ya magari,sasa ile tangazo ktk billboard hakuna picha ila jamaa Wameweka maandishi Mengi sana Yan Kama page nzima....so wewe kwavile Upo Kwenye foleni ni Lazima tu utataka ujue kumeandikwa nini....Sasa jamaa walivyoyapanga Yale maneno ukisoma sentence Moja inakushawishi usome sentence inayofuata,sasa kwa vile Upo Kwenye foleni unajikuta Umemaliza kulisoma bango lote....aoutomatic Ukifika hapo watu wote macho Kwenye bango na message sent.

Kuna sehemu pia jamaa Wameweka bango la kinywaji gani sijui....sasa ile graphics iliyopigwa ktk ile bango ni kma limeungua na moto lote ila Kuna kasehemu kadogo hv kamebaki kwa pembeni hapo ndo imewekwa picha ya Hiyo chupa ya hicho kinywaji...hii ni kwa jinsi gani watu wanavyotumia ubunifu kufikisha message kwa raia.... LIKUD ruka nayo hii idea.
 
Outdoor marketing is the real deal
 
Back
Top Bottom