Hata mi nilisikia kuwa yote ni madume kuna watu waliliwa vocha mpaka basi.
this is only here in JF
Habari ya wewe mr?
Salama kamanda
Uzima upo wa kutosha?
Nimekamiss kale ka signature kako mkuu!
nipo mkuu maisha tu yanatite. kale kasignature nitakarudisha mkuu
Pole mkuu kwa kutaitiwa na life.
Wanasema ugumu au wepesi wa maisha hatima yake ipo mikononi mwako!