Amina Moleli - TBC1

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
2015 wakikutosa tena ubunge, ingia chama cha "V". Kiukweli unastahili wewe mdada, kuwa mbunge wa kuwatetea wasiojiweza na vilema

Kile kipindi chako cha ShAJARA,,,hasa paleulipomshika mwenye ukoma na mwenye vidonda vinavyotoa funza!! mimi hata nipewe mchumba sealed, afu bure, siwezi.

Kwanza huwa nafunga macho na hapo ni kwenye TV,,nikiona live nadhani naweza zimia kabisa, au kufa kwa njaa.

Big UP Dada.
 
yule dada namkubali sana,nilishaomba uchumba swala limebakia dini,nani abadilishe mimi au yeye,da!
 
Hata mimi namkubali sana! Hasa alipokwenda mpaka kure kwa shemeji zangu makete!
 
Ameenda Tbc nae kawa mchakachuaji wa habari. Akisoma habari magazetini, kama akishika gazeti lenye habari inayohusu CDM yeye huweka pembeni gazeti hilo ama anavunga kwa jinsi anayojua yeye. Amepoteza maana.
 
Hii nadhani atakuwa alipewa rehersal na Joe Kidampa. Huyu mshikaji huwa ananikera sana kwa kutafuta ukuu wa wilaya au ukurugenzi wa TBC.
 
wee kigogo una madharau sana

salama mufti!!! samahani bana...kuna mwingine alikuja anasema yule anyenyoa para sijui KINGARAME JOYCE eti naye mkali....mweeee hivi haya mambo yako hivi...
 
Amina Mollel pamoja na Joyce Kingarame wako fit, wanajua kazi zao. Big up to the girls
 
Ameenda Tbc nae kawa mchakachuaji wa habari. Akisoma habari magazetini, kama akishika gazeti lenye habari inayohusu CDM yeye huweka pembeni gazeti hilo ama anavunga kwa jinsi anayojua yeye. Amepoteza maana.

kama ndo hivyo ana muda mfupi wa kuishi duniani, kumbe mnafiki hivyo!
 
Kazi imani, Huyu dada anaipenda sana kazi yake isipokuwa hili shirika linamfanya aonekane tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom