mtumishidc
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 513
- 181
Kimsingi alipotea kabisa hakujua anastahili kuzungumza nini, alikuwa km kastukizwa! Sifa na usomi wake vikapotezwa na woga ama kutojiamini!Hajui kujieleza,hana confidence anajichanganya hafai kutuongoza
Muda wote wa hotuba kuji associate na kujipendekeza kwa mamvi, hakiyamungu hatoboi
-Ana element za ukibararaka
-Hongera Asha
-Hongera jembe ngosha
Mwanamke hana sifa za kuwa kiongozi kwenye taifa lolote lile....na muendelezo wa kuwachagua wanawake watuongoze baada ya kutunza familia ni dalili za mwisho wa dunia kwani mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na hata yeye mwenyewe analijua hilo.....
Wewe hujui, jiulize kwa nini siku timu kwa mfano ya kenya au Uganda or yoyote ile wakija kucheza na Yanga wanavaa jezi nyekundu?????????
Sorry kwa nitakaowakwaza..
Ila hili taifa lilipofikia halihitaji mwanamke aisee...
La sivyo nchi itauzwa kabisa
Sorry kwa nitakaowakwaza..
Ila hili taifa lilipofikia halihitaji mwanamke aisee...
La sivyo nchi itauzwa kabisa
Mkuu wewe hujui siasa, hii ni game, lazima uangalie mtaji wa wapiga kura uko wapi, kama ni kwa Fisadi basi kujipendekeza ni Lazima.
Mwanamke hana sifa za kuwa kiongozi kwenye taifa lolote lile....na muendelezo wa kuwachagua wanawake watuongoze baada ya kutunza familia ni dalili za mwisho wa dunia kwani mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na hata yeye mwenyewe analijua hilo.....
Mkuu umenena, ni kitu kisijo cha kawaida kwamba wanaume sasa majukumu yetu hatuyawezi sasa tunawakabidhi wanawakeMwanamke hana sifa za kuwa kiongozi kwenye taifa lolote lile....na muendelezo wa kuwachagua wanawake watuongoze baada ya kutunza familia ni dalili za mwisho wa dunia kwani mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na hata yeye mwenyewe analijua hilo.....
You mean slutty? She may twerk for you or do a lil lap dance in private if you got enough dollars.