Bubu Msemaovyo JF-Expert Member Joined May 9, 2007 Posts 4,189 Reaction score 3,548 Feb 19, 2013 #1 [h=3]MANENO YA MWISHO YA MHESHIMIWA MBUNGE AMINA CHIFUPA.[/h] [h=5][/h][h=5][/h] [h=5]"Wapo wanaonionya kwamba wauza mihadarati watanidhuru...lakini mimi nasema, woga wangu hauko kwa hao, nawaogopa zaidi wale wanaonipiga vita ndani ya chama changu...nawajua ni watu wa namna gani...wanaweza kunidhuru... - Marehemu Amina Chifupa[/h]
[h=3]MANENO YA MWISHO YA MHESHIMIWA MBUNGE AMINA CHIFUPA.[/h] [h=5][/h][h=5][/h] [h=5]"Wapo wanaonionya kwamba wauza mihadarati watanidhuru...lakini mimi nasema, woga wangu hauko kwa hao, nawaogopa zaidi wale wanaonipiga vita ndani ya chama changu...nawajua ni watu wa namna gani...wanaweza kunidhuru... - Marehemu Amina Chifupa[/h]
Kyoombe JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 1,210 Reaction score 784 Feb 19, 2013 #2 alisema ukweli kabisa. r.i.p. Amina
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 418 Feb 19, 2013 #3 Chezea CCM.....
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,303 Feb 19, 2013 #4 Mpaka leo kifo cha huyu dada nikitendawili R.I.P Amina!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,960 Feb 19, 2013 #5 aANGALIE HUYU BINTI MPAYUKAJI NAE ALIENDA HUKO KWA HAO ccm. shauri yake yetu macho