Naomba uprint halafu jaza sehemu zifuatazo:Binafsi sioni tatizo, aliyeona tatizo tunaomba mtueleze tatizo ni nini?
Kiongozi huo sasa utakuwa ni uvivu, mbona zipo online tu??google utaziona ukitaka kuziona.we ****, ingekuwa vema kama ungetuwekea na visa application za nchi nyingine angalau mbili ili tuone tofauti. kwa sisi ambao hatujawahi kuziona fomu za nchi nyingine tunaweza kudhani hii ya tanzania ndo the best form ever
Naomba uprint halafu jaza sehemu zifuatazo:
-Title......
-Date and Place of Birth....
-Place of issue.......
-State Your Employer/University/College....
Kwa kweli hata wenzetu nadhani ndo chanzo cha kutudharau make unapojaza hii form inadhihilisha uhalisia wa nchi yenyewe kwa ambaye haijui!!
Ni aibu kwa idara husika kuendelea kutumia form hii!!!
Kiongozi huo sasa utakuwa ni uvivu, mbona zipo online tu??google utaziona ukitaka kuziona.
Hivi kinacho jadiliwa hapa umekielewa au umekurupuka?Hiyo ni form ya visa tu, ni tofauti kabisa form ya kuomba residence permit. Mimi nilishaiona form ya kuomba permit ina maelezo mengi kuliko hayo. Hizo za visa hata Kenya, Uganda hata Burundi ni za kawaida sana, tena sehemu zingine unaja hata mpakani tu, ni kikadi kidogo zaidi ya hiyo form. Au unataka kuwe na form tofauti kwa ajili ya wachina tu?. Huo utakuwa ni ubaguzi kwa wachina
Hakuna sababu ya kujaza sever hapa kwaajili ya umaamuma, wewe tafiti kujua ukitaka kwenda uk, usa, canada, australia, japan, nk ni nini unaulizwa kwenye visa form zao..Mvivu mimi au mleta mada. Yeye mdo alitakiwa a google ili alete taarifa kamili. Utasemaje kitu fulani kibaya bila kulinganisha na kitu kingine.