Ami anapoghaili kwenda kuiona Man U.

Ami anapoghaili kwenda kuiona Man U.

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,720
Reaction score
5,286
Eti nasikia yule Ami, bingwa wa Eatel alokua na hamu kwenda kuiona Man u laiv pamoja na kupiga picha na w. Rooney hataki tena kwenda.
 
Eti nasikia yule Ami, bingwa wa Eatel alokua na hamu kwenda kuiona Man u laiv pamoja na kupiga picha na w. Rooney hataki tena kwenda.
Teh, teh, teh...! Ami, hataki kuona man laiv tena?
 
NANI.PNG

amy hataki tena, Amy mwenyewe huyu hapa
 
Atakwendaje kumuona bigwa anayenyemeleakushuka daraja?
 
Litimu lenyewe linashuka daraja mwaka huu...
 
Litimu lenyewe linashuka daraja mwaka huu...

Mkuu kitu tunachojitahidi kisitokee ni kutoshuka daraja. Tumeamua kujitahidi kucheza kufa na kupona ili angalau tubaki BPL tusishuke. Kuchekana ni marufuku.
 
Back
Top Bottom