Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Sitaki kuonekana namhukumu shoga (homosexual) aliyekubuhu lakini nahisi ni muhimu wanandoa hao wakae chini na kuelezana ukweli. Kama anampenda mkewe anaweza kupata msaada wa kisaikolojia kumfanya achukie kutafuta mimba za mgongoni na kuwa mume bora.

Ikishindikana poa tu mke atulize boli na Mwenyezi Mungu atamjalia mume wa maana. Tatizo la jamii zetu wakati mwingine tunawekeana masharti mengi na mwisho wake tunaishia kuumizana nafsi tu.

Mtu anapata mchumba safi kabisa na wa chaguo lake na wote wanapendana lakini mwisho wa siku anamwacha eti kisa dini tofauti. Wengine kabila lao linatokea Mkoa wenye mvua kidogo, wengine wanaume wa huko wanapiga sana wanawake, wengine kwao hakuna pesa.

Unajua matokeo ya kuwaacha watu hawa...? Unaibuka na mtu wa kabila lako halafu shoga. Mwingine wa dini yako lakini mnakosa connection nk.
 
Ni mambo ya kusikitisha sana lakini kama upo uwezekano ni bora wakae na kuzungumza. Kama Shost (Homo..) atakuwa tayari kubadilika anaweza kupata ushauri nasaha juu ya namna za kuacha aibu anayomtia mkewe. Ikishindikana wasilazimishe. Kuachana pia ni suluhu kwa namna fulani.
 
very sad, kwa kweli mpe pole shosti wako, mume wake anahitaji msaada sana tena wa haraka wa kisaikolojia na kimwili, wanaume wengi siku hizi wamekuwa tatizo, wanahitaji kikombe cha babu
 
Shalom wana jamvi.Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
mi ningekuwa ndio huyo mdada ningemuomba huyo houseboy akimaliza kumshemperea mume wangu, aje na kwangu pia. Halafu namweleza huyo mume wangu kuwa tangu leo mimi na wewe ni wake wa hausiboy, tujipange ipasavyo kumuhudumia mume wetu.
 
Duh, wanawake mlioolewa mna kazi kweli juu ya nani wa kuajiri kama mfanyakazi wa ndani..
Wa kike baba mwenye nyumba atamla uroda, wa kiume atamla uroda Baba mwenye nyumba..

Salaale........
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Shalom wana jamvi.Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
Ww NazJ una vituko sana....
 
mnategemea mtu ambaye hana feelings za kutia na anataka ingiliwa tu atapandishaje?

Hata kwa tulio wa kawaida kama mtu huna hamu na mwanamke au p yake upigwe unipige mie sitasimama kwa kweli

Ila ndio maisha haya
 
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?

Mwambie asikonde House Boy yupo atoe huduma kotekote tu...life goes on...kumbe wewe ndo rafiki yake? hahahaha Mama Chuma huyo....
 
Back
Top Bottom