Kidato gani,na kwanini inaaminika katoroka? Iwapo yapo maelezo ya ziada ni vyema kutolewa ili iwe rahisi kupatikana kwake.AMETOROKA SHULENI!
Mtoto wetu DAVID R. KIGELULYE, kimo ~5ft.
Mara ya mwisho kuonekana Iringa – Shule ya San Giovanni Paolo Sec, tarehe 20/08/2025.
Tafadhali yeyote mwenye taarifa atujuze mara moja 🙏.
Piga:
📞 +255 714 220 3363 / +255 675 962 254
View attachment 3457859