Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Habarini wakuu,
Sijui naanzaje kueleza maana nshachanganyikiwa anyway let me try.
Ni hivi, kuna mwanamke mmoja nina mahusiano nae takribani miaka miwili na nusu sasa. Sio siri/utani huyu mwanamke nimetokea kumpenda sanaa haijawahi tokea tena maishani mwangu yote kutokana na mambo aliokua akinifanyia.
Imefikia kiwango cha kuachana na mchumba wangu niliekuwa na malengo nae hapo awali instead nika fall kwa huyu mwanadada mwingine. Katika kipindi chote cha kuwa na mahusiano nae tumekua na ukaribu sanaa kiasi cha kusema tunaishi kama mke na mume.
Miezi 9 nyuma nili note kwamba uhusiano wetu unaenda ukififia, mazoea yame pungua. We don't hang out or talk often, hanichangamkii tena kama zamani and stuff like that nikahisi labda ana mtu mwingine au nimemuonyesha sanaaa hisia zangu kwake kiasi cha yeye kutumia hiyo kama silaha kuniumiza kichwa coz nahisi ameshajua nshazimika kwake mazima.
Sasa kukata mzizi wa fitina nikaamua kuachana nae na kumwambia kila mtu ale na time zake kwani mimi nilishakua na mtu hapo awali, istoshe nina yangu mengi ya kufanya. Issue inakuja yeye akakubali tuachane na wala haionyeshi kumkwaza wala kuumia kwamba nimeachana nae.
Siwezi sema ana mtu mwingine coz nimeshamchunguza sanaa na inaonyesha hana mwanaume mwingine, ni binti aliye in her mid 20's. Asa huku upande wangu nakua kama sitaki nataka.
Nikimuangalia mwenzangu naona anazidi kunawiri tu na mi huku nakonda kwa mawazo na kumiss penzi lake. Asa wakuu hebu mnishauri mwanamke wa namna hii namfanyaje ili na yeye aumie roho na kutamani kurudiana na mimi.
Kumuacha nimemuacha mwenyewe ila ni vile kama naona naumia mimi zaidi yeye walaa. Mwisho wa siku inakua kama mimi ndio najipendekeza kwake turudiane.
Mi nafkiri nimeeleweka, ( i'm confused ) sijawahi kuburuzwa na mwanamke kiasi hichi.