Amesema ataniwekea sumu!!!

hapana akikuuwa hautajifunza..mi naomba akukate hicho kitu ulichotumia kumsaliti.ubaki hivyohivyo....
 
Tena hatapata dhambi kabisa na wanaume hamjui tu wengine mmewekewa sumu za taratibu mara oooh Heart Attack.......mnatembea nje hovyoooo.....mnajiona vidume...Tunawachora tuuuu....haaahaaaaa
 
simcheat tena wangu ila siku hizi akinitengea msosi na muangalia usoni mara mbili mbili.coz ckutegemea kama anaweza kusema vile

Mmmh...tuzidishe usiri wa hili penzi letu kwa kificho cha hali ya juu......
 
But why Cheat-Cheat mchumba au waubani jamaniiiii.....Gf/Bf i can understand but after you commit yourself...why should you astray?
Usaliti unauma ndio maana mtu akichukua draastic measures me naona even Angels will understand.....
 
dah na wewe unaonekana una li roho libaya.we hujui kuua ni dhambi?
 
hapana akikuuwa hautajifunza..mi naomba akukate hicho kitu ulichotumia kumsaliti.ubaki hivyohivyo....

tobaaaa!!!valentina hebu njoo umsikie huyu mtu.eti anataka chukurubu ikatwe mwe!!!!
 
Ngoja nimtafute huyo maiwaifu wako nichukue tenda ya kuhudumia msiba wako kuanzia jeneza, maturubai, viti hadi msosi...

Kufa kufaana atiii...tangazo hili pia liwafikie wachagga(shemeji zangu) wote wanaomiliki bastola
 
utaanza kufa wewe
 
simcheat tena wangu ila siku hizi akinitengea msosi na muangalia usoni mara mbili mbili.coz ckutegemea kama anaweza kusema vile
haa haa haa kakupiga mkwara tu, unafikiri wenye uwezo wa kuua wanasemaga basi, wao vitendo tu.
 
Tengeneza chumba cha maabara kisha uajiri au upate training ya mkemia...kabla ya kubla unachukua sample kwa ajili ya analysis...iwe daily routine.....hahahahh
 
Na wewe ulimwambia kuwa ukimkamata amecheat utamfanya nini, wewe mpige adhabu ya kufa mtu maana kama ni simu si unakunywa tu maziwa lakini yeye mwambie jambo gumu kuliko sumu ili na yeye awe na hofu asikujaze mahofu wewe peke yako tu
 
mkuu acha nikuambie in advance...................rest in peace

sasa thubutu kukutwa na bwana pepsi

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…