Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
He he he wanawake wakiwa hivyo watakufa wanaume karibia wote Tz,
Humu jamiiforums watabaki wanawake tu na wadada,
wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu kwenye chakula ili nife.dah,kauli ile ikanistua sana ukizingatia nilishawahi kucheat mara moja miaka ya nyuma japokuwa hakuwahi kugundua na mpaka leo ananiamini sana!!!bandugu hivi na ninyi huwa mnakutana na kauli kama hizi au ni waifu anafikiria kunichenjia?
mwambie anunue kabisa hiyo sumu..
mwambie anunue kabisa hiyo sumu..
akiaanzisha tu kukuua na wengine wanaweza kuiga si unajua wabongo kwa kucopy maana mushi alianzia munis akakopy. mangi kaanzisha kuchoma nyumba utasikia watu wamemuiga tena, tafadhali usimcheat bana!!!
Hata Mimi nilipewa onyo kama hilohilo na Mimi nikamuuliza je namimi nikikufuma je, unajua alichonijibu
Andika watu utakaowaachia urithi!