Amesema ana mtu wake ila ananiomba hela

Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani.

Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari.

Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani.

Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane?

Akapiga kimya Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki.

Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubahili toa hela wewe zuzu
 
Achana nae huyo....njaa ikibana ataleta mwenyewe
 
Nmekumbuka ile message ya "This transaction has failed due to insufficient balance" ndio naiona situation yako.
 
Mtumie tu hiyo hela. Elfu 50 kitu gani bwana. Mbona watu tunawatumia hela watu hata hatuwajui. Sembuse wewe unayetegemea siku moja utapewa nanihii.....
 
Back
Top Bottom