Amesema ana mtu wake ila ananiomba hela

Amesema ana mtu wake ila ananiomba hela

Papuchi si angepewa siku ingine. Kwani lazima 50k yake ndo akamvue chupi demu wao
Haha dada yangu mbona cku hizi una roho mbaya, ingawa mtoa mada nae kwa kiasi flani ana makosa.. Lakini anachokifanya huyo mdada kwa mtoa mada sio fair kabisa, yani mtoa mada atoe tsh elf 50 buree, hlf papuchi akapewe mwingine.. Mzigua90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hivyo. Walitongozana wakakubaliana ila dada Ana bwana wake wawe wanaibia. Dada siku kaomba hela ndio jamaa akamwambia aifuate lodge Ili akamgegede ampe hiyo hela aloomba
sijui labda nimeelewa story vby, nimeona kama vile jamaa ameombwa 50k (yaan ametajiwa na kiasi kabisa) baada ya yeye kumtaka huyo bidada.

what does that imply?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hakufai Kiongozi.

Hivyo raha za Dunia wapewe wengine wewe uishie kupunwa mapene yako.

Hapana, kaa nae mbali.

Hiyo CHURA wala isikuchanganye
 
k
Kaka. Hiv una akili kweli ww?.
Hela ako unapeleka kwa mwanamke kama huyo..?
Eti spare tyre na ww unakubali.. shit
Mbona unajishusha dhaman man.

Embu tafuta mwanamke anaejielewa. Mcha Mungu..
Beutiful black lady. Ujenge nae maisha. Acha kukimbizana na vitoto vya chuo man

Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba hasitafute white beautyful lady 😀😀
 
umejishusha vibaya mno. Demu anakuambia ana mtu wake(hata kama kakudanganya) halafu we unasema uwe spare tyre kweli!!!!! Bora ungetumia lugha nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom