Amesema ana mtu wake ila ananiomba hela

Amesema ana mtu wake ila ananiomba hela

Mwagito84

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
235
Reaction score
716
Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani.

Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari.

Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani.

Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane?

Akapiga kimya Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki.

Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka kukufanya wewe pochi... mkumbushe anasemaje kuhusu kuhudumiana, sio anataka kuhudumia tu.
 
Kaka. Hiv una akili kweli ww?.
Hela ako unapeleka kwa mwanamke kama huyo..?
Eti spare tyre na ww unakubali.. shit
Mbona unajishusha dhaman man.

Embu tafuta mwanamke anaejielewa. Mcha Mungu..
Beutiful black lady. Ujenge nae maisha. Acha kukimbizana na vitoto vya chuo man
Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge. Akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane? Akapiga kimya. Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki. Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sura hujaipenda umeipenda nundu yake tu maelezo yako hayaonyeshe kama wewe ni muindaji kuntu mwenye malengo kama lion
 
Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge. Akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane? Akapiga kimya. Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki. Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo unaitwa mzunguko wa hela. Yaani wewe uwe fala umpe hiyo hela akaliwe na mwingine wakagawane hiyo pesa. Atakaye pewa naye kuna ka sehemu atapaleka.
 
Mwambie atoe huduma apews pesa sio gharama kabla hajatoa huduma tena akija ajihudumie kwa kila kitu chakula nk. Ili wakome sio naomba ela ya vocha huku anakubp umpigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba tuyajenge. Akanambia ana mtu wake hivyo haiwezekani. Nikamwambia niwe tyre spare akasema poa ila niwe namuhudumia, nikamwambia nikuhudumie au tuhudumiane? Akapiga kimya. Jana kanitext anaomba 50,000 nikamwambia niko room namba 09 Guesthouse aje achukue ananiambia kama ndo mambo hayo basi hataki. Hivi akina dada huwa mnataka iweje? Au kuna mahala nakwama wanazengo? Yaani mi niwe nakuoa hrla harafu anagegeda mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,

UMEJARIBU KUMSHIRIKISHA NDUGU HARMORAPA ILI AKUPE USHAURI KUHUSU HILI ?

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Back
Top Bottom