Dah wanawake bwana. Mke wa bro aliondoka maghetoni huku akisema jamaa ni Mzee yeye Bado dogo kama 34 Dem 24 halafu pia akasema Maza ni mwanamke wa hovyo kazaa watoto machizi tu ikiwemo mume na pengine alimaanisha familia nzima.
Akaondoka akaacha watoto watatu mwingine mdogo 4 yrs kwao. Akaenda zake Bongoo kula life. Huko kaishi mwaka 1.4. Maisha yamemshinda akampigia br kwamba narudi kihome boy na ninaumwa sana.
Sijui ndo upwiru Br bila ushauri akamrudisha mkewe ghetto kwake. Bila kupima Ngoma wakaanza kulana. Wanaishi pamoja.
But kiukweli isingekuwa life kufeli Wala Shem asingerudi Kwa yulee aliyemwita Mzee.
Nna hofu sana hata hivyo isijekuwa huyu manzi alirudi na Ngoma coz br hakukumbuka vipimo