Amerudi analia turudiane

Amerudi analia turudiane

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,303
Reaction score
1,884
Habari za jioni.

Nilipataga msichana mrembo kama malaika nakiri mimi mwenyewe nilijisifu kumpata mtoto anavutia mpaka nikawa na wivu kama nyegere.

Ghafla akapatwa na wazimu akaenda kwa mwingine lakini mambo huko hayakwenda vizuri akarudi ndoa bado mbichi kabisa.

Kamtuma rafiki yake aombe msamaha kwangu sijamjibu.Akaenda mpaka kwa wazee wa kuheshimiwa nikawaambia wasubiri nifikiri.

Jana kaenda kwa kaka yangu na kagoma kuondoka analia usiku kucha watu hawakulala kwa jinsi anavyolia.

KWANINI ANALIA SANA?
Wakati nilipokuwa nae hakuna kitu alichotaka akakikosa.Nilimnunulia kiwanja kwa maandalizi ya kumjengea.

Misosi usiseme ilikuwa ni kuku analiwa mpaka bata anaona wivu.Alinawiri kwa jinsi nilivyomtunza.Hivi sasa amechakaa kisawasawa.

Nipeni ushauri naogopa kurudiana nae japo nampenda sana ni mrembo hasa.Vipi kuhusu jamaa walieachana?
 
Leo analia yeye ukimrudia utalia wewe, hajarudi kwa upendo ila karudi kwa kukumbuka vile vitu alipoenda hakuvipata.... Angekua anakupenda asingeondoka.... Usisahau pia huko kwa Jamaa alikua wakati wa show ikichomoka Demu anairudishia kwa Mikono yake
 
Mwanamke akishakukimbia na akirudi ukampokea atakuona zoba, yalishanikuta ila aliniacha tena, we piga rock mazima kenge huyo.
Habari za jioni.

Nilipataga msichana mrembo kama malaika nakiri mimi mwenyewe nilijisifu kumpata mtoto anavutia mpaka nikawa na wivu kama nyegere...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom