Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,778 Reaction score 55,515 Apr 26, 2014 #101 Mhh majanga
M muluvigwa JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 263 Reaction score 84 Apr 26, 2014 #102 nakama ikibainika hukupita. mvutie kasi mambo yakipoa mpitie kama mfalme mswati alaf 2pa kule na hama mtaa
nakama ikibainika hukupita. mvutie kasi mambo yakipoa mpitie kama mfalme mswati alaf 2pa kule na hama mtaa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,436 Reaction score 872,034 Apr 26, 2014 Thread starter #103 muluvigwa said: nakama ikibainika hukupita. mvutie kasi mambo yakipoa mpitie kama mfalme mswati alaf 2pa kule na hama mtaa Click to expand... Maandalizi yanaendelea vema nitaleta mrejesho
muluvigwa said: nakama ikibainika hukupita. mvutie kasi mambo yakipoa mpitie kama mfalme mswati alaf 2pa kule na hama mtaa Click to expand... Maandalizi yanaendelea vema nitaleta mrejesho
inspector laddy JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 761 Reaction score 258 Apr 26, 2014 #104 mshana jr said: ilinidisturb mno hii ishu vizuri ni kuwa nilimweleza wife kila kitu na mazungumzo yote niliyarekodi mwanzo mwisho Click to expand... kama ni hivyo worry not,ndoa yako ipo salama
mshana jr said: ilinidisturb mno hii ishu vizuri ni kuwa nilimweleza wife kila kitu na mazungumzo yote niliyarekodi mwanzo mwisho Click to expand... kama ni hivyo worry not,ndoa yako ipo salama
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,516 Reaction score 9,809 Apr 26, 2014 #105 Kama alikosea namba iweje wewe imfatilie na kurudi naye nyumbani? mshana jr said: sina no yake niamini na hata yangu sijui kaipata wapi na alichoongea ni tofauti kabisa,alijifanya kakosea no Click to expand...
Kama alikosea namba iweje wewe imfatilie na kurudi naye nyumbani? mshana jr said: sina no yake niamini na hata yangu sijui kaipata wapi na alichoongea ni tofauti kabisa,alijifanya kakosea no Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,436 Reaction score 872,034 Jun 13, 2020 Thread starter #106 Jr kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,339 Reaction score 4,386 Jun 13, 2020 #107 Yule mwanadada mwaka jana mlikuwa mnapinduana na kutulingishia humu mliachana Vipi tunguli zilishindwa mpaka umeoa mwingine (ndoa mpya) Hongera nadhani na huyu anakutafute uanzishe ndoa nyingine ndoa tarajari
Yule mwanadada mwaka jana mlikuwa mnapinduana na kutulingishia humu mliachana Vipi tunguli zilishindwa mpaka umeoa mwingine (ndoa mpya) Hongera nadhani na huyu anakutafute uanzishe ndoa nyingine ndoa tarajari
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,436 Reaction score 872,034 Jun 13, 2020 Thread starter #108 Nkolandoto said: Yule mwanadada mwaka jana mlikuwa mnapinduana na kutulingishia humu mliachana Vipi tunguli zilishindwa mpaka umeoa mwingine (ndoa mpya) Hongera nadhani na huyu anakutafute uanzishe ndoa nyingine ndoa tarajari Click to expand... Hapana hatukuachana ilikuwa ndoa ya mkataba
Nkolandoto said: Yule mwanadada mwaka jana mlikuwa mnapinduana na kutulingishia humu mliachana Vipi tunguli zilishindwa mpaka umeoa mwingine (ndoa mpya) Hongera nadhani na huyu anakutafute uanzishe ndoa nyingine ndoa tarajari Click to expand... Hapana hatukuachana ilikuwa ndoa ya mkataba
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,436 Reaction score 872,034 Jun 13, 2020 Thread starter #109 Baba Joseph17 said: Kama alikosea namba iweje wewe imfatilie na kurudi naye nyumbani? Click to expand... Coicedence....
Baba Joseph17 said: Kama alikosea namba iweje wewe imfatilie na kurudi naye nyumbani? Click to expand... Coicedence....