OK MKUU nipe ufafauzi juu ya hiyo App ya dumpsterKama ulishawahi kuambiwa anaumwa na tumbo sana mpaka simu haipokelewi ujue unaibiwa. Imeshanitokea nikagundua kwa kufumania picha kwenye dumpster( niliinstall kwenye simu bila yeye kujua)
Hii ni story ya kusadikika jinsi alivyoipangilia lakini kiuhalisia haya mambo yapo.Na likikufika huwezi kuwa Na uamuzi yaani unabaki sijui ufanyajeStori ya kusadikika@ first to reply
DuhAkiamka mshauri ajiunge Jamii forum kuna maswali ya nyongeza tungependa kumuuliza directly kabla hatujamshauri.
Ila ushauri general kwa wanajamii wote; uzinzi/ngono haujawahi kumuacha mtu salama. "Kila aziniye na mwanamke hana akili kabisa, tena aiangamiza nafsi yake mwenyewe."
NB: Akishajiunga mwambie anitag ...
Ukitaka principal hizo kasome vitabu vya kiada vya shule si kujifanya unajua kila kitu na kukosoa tu, usiharibu post za watu kama kwako haipo sawa. Piga kimya na uipite. Ujuaji muda mwingine hauna maanaAcheni kutujazia server kwa story zenu zisizo na flow ya kueleweka! Narration yoyote ili ilete uhondo uliokusudiwa ni lazima iandaliwe kwa kufuata principle zake! Tupende kushirikisha professionals kabla ya ku-publish!
Nimeisoma vyema, huo ni ushauri kwa ajili ya rafiki yake huyo John. Nimefupisha tu.Haukuisoma ukaimaliza? Siye yeye mleta mada aliyetendwa, bali ni jamaa yake.
Amejiunga MKUU ila kumuweka directly hapa nitakuwa namshushia hadhi yake kuna watu waheshima sana anao humuAkiamka mshauri ajiunge Jamii forum kuna maswali ya nyongeza tungependa kumuuliza directly kabla hatujamshauri.
Ila ushauri general kwa wanajamii wote; uzinzi/ngono haujawahi kumuacha mtu salama. "Kila aziniye na mwanamke hana akili kabisa, tena aiangamiza nafsi yake mwenyewe."
NB: Akishajiunga mwambie anitag ...
Asante kwa kunisaidia kufikisha ujumbeUkitaka principal hizo kasome vitabu vya kiada vya shule si kujifanya unajua kila kitu na kukosoa tu, usiharibu post za watu kama kwako haipo sawa. Piga kimya na uipite. Ujuaji muda mwingine hauna maana
Embu ufafanuzi kwanza kuhusiana na hio App ya dumpster,atakuwa amesaidia wengiOK MKUU nipe ufafauzi juu ya hiyo App ya dumpster